Msaada tatizo sugu jamani.

Pretty R.

JF-Expert Member
Apr 14, 2012
200
31
Habari zenu madoctor wa jf, kuna rafiki yangu wa jinsia ya kike ana tatizo la kuwashwa sehemu za siri na limekuwa sugu sasa. Doctor kampima hana fungus anawashwa kwa nje, tatizo linaweza kuwa ni nini? Msaidieni plz, natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
 
kama anawashwa na kambiwa hana fungus then it could many other infections, so aende pharmacy anunue antibiotic, e.g flagine doz moja na cloksasilin doz moja (jumla 4500) ameze, anywe maji mengi na ale matunda kwa wingi wakati wa dozi cz flagine chungu haswaa, awe msafi maeneo ya ikulu, akikojoa atawaze na maji safi then ajifute maji na kitambaa kikavu na avae chupi safi ya coton na usiku asivae chupi ili apate hewa, ajizuie kujikunakuna, after one week atakua ameanza pata nafuu.
 
Asante sana Kihalunja naamini hiyo tiba uliyompatia itamsaidia sn, kweli jf inasaidia sn kwa kukutanisha watu wa taaluma mbalimbali ili tusaidiane then maisha yaende. Mungu akubariki ndugu yangu.
 
Hiyo fungus daktari kaipimaje? Dawa halis ya hilo tatizo kama anawashwa kwa nje atumie anti fungal clotrimazole cream Bp.ni topical antifungal apake kutwj mara mbili.kama kuna uchafu unatoka ndio unawasha then cipro 500mg stat,metronidazole 400mg tds for 7/7 na doxcycline 100mg bid for seven days.she she also also add clotrimazole pessaries 100mg anatumbukiza ikulu wakati wa kulala kwa siku sita.naamin baada ya hapo atakuwa amepona.be free to ask anything you are not clear with.0715720276
 
Jamani asanteni nimewapata ameanza dozi mlizomshauri and she is doing well. Mbarikiwe sn, I don't know how to thank you all, Mungu awazidishie ili mzidi kusaidia watu wenye matatizo kwenye jamii yetu.
 
Asante sana Kihalunja naamini hiyo tiba uliyompatia itamsaidia sn, kweli jf inasaidia sn kwa kukutanisha watu wa taaluma mbalimbali ili tusaidiane then maisha yaende. Mungu akubariki ndugu yangu.

amina my mamushka.
 
Back
Top Bottom