Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

kama ulizoea kuuweka upande mmoja wa chupi yako bac badili upande utaanza kuuona ukielekea upande huo, ukifikia kati acha kuvaa chupi au uwe leo wauweka kulia kesho kushoto.

umepinda kuelekea chini zamani nilikua naueleza huko coz ni mrefu na ilikua wakati wa balehe ukawa unadinda dinda sana
 
Inawezekana ikawa ni hali ya kawaida, lakini pia kuna wakati mwingine inawezekana kuna tatizo la kulegea kwa mishipa upande uume ulipolalia.Muone Daktari.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Yaani niliposoma title, nikadhani uume wako unatoa msaada.

Anyway, nijuwa mara nyingi huwa unapinda baada ya kutahiri. Na uliopinda ndo huwa unakwangua vilivyo if properly used
 
Yaani niliposoma title, nikadhani uume wako unatoa msaada.

Anyway, nijuwa mara nyingi huwa unapinda baada ya kutahiri. Na uliopinda ndo huwa unakwangua vilivyo if properly used

ni kweli kabisa baada ya kutahiriwa
 
Inawezekana ikawa ni hali ya kawaida,lakini pia kuna wakati mwingine inawezekana kuna tatizo la kulegea kwa mishipa upande uume ulipolalia.Muone Daktari.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kwa chini naona sio tatizo kubwa la kwenda kwa docta
 
uume wangu umepinda.hapo zamani ulikua umenyooka lakini kipindi cha balehe yaani wakati wa kuanza dinda na kwa kua uume mrefu basi chupi ilikua inanibana na kupelekea kupinda kwenda chini msaada nitaunyooshaje

Ndugu wengine zmepnda kuelekea kushoto au kulia. Jambo la msingi ni kusimika na kumridhsha mwanamke.
 
Asante mkuu kwa swali lako, kwa maelezo yako mafupi yaelekea tatizo lako ni dogo tu, maumbile kama hayo yapo na hayahitaji matibabu yeyote yale.

Ingekuwa uume wako umekuwa na mkunjo mkali (angulation) na kama ukusimama unapata maumivu makali basi huo ni ugonjwa unaofahamika kama Peyronie's disease ambao mara nyingi unasababishwa na makovu katika misuli inayodindisha uume.

Ikiwa ndio huo ugonjwa unahitaji upasuaji kurekebisha.
 
Wana Jf naomba msaada wenu uume wangu umepinda kuelekea kulia uwe umelala au umesimama nahisi utaniletea matatizo wakati wa kufanya mapenzi je nifanyeje ili unyooke uwe kama kawaida.?nina miaka 20
 
Uamishie upande kinzani kwa miezi kadhaa..utarudi,ebu wacha kuvaa michupi ya kubana we jamaa.. hilo sio tatizo kubwa lakini hiyo michupi wacha haraka vaa boksa za kujiachia
 
Back
Top Bottom