Jana rafiki yangu kaja na usb flush disk, baada ya ku insert ktk laptop yangu kirus cha ajabu kika infect laptop.
Ikawa kila uki insert flush nyingine yoyote mafolder yaliyopo ktk hiyo flush hayafunguki na yanabadilika kuwa na .EXE. Pia hujizalisha folder nyingine 2,3 na files ya sexy.exe, ponu.exe etc etc.
Nimetumia updated antvirus Mcafee, AVG na combofix bila mafanikio.
msaada tafadhari