Msaada tafadhali.

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
Wanajf, kuna ndugu yangu alichkua ipod classic yangu na kuiformat, baada ya kufanya hvyo miziki na videos vyote vimepotea, kwa sasa naitumia kama flash, nikitaka kuweka miziki ili iweze kuplay, inadai niiwekee iTune kwanza, tatizo ni kwamba sijui hyo iTune ni version gani! naomba mnisaidie tatizo hili.
 
ipods hutumia kitu kinaitwa *synchronisation*. kusynchronise ni kufanya vitu viwili viwe sawa. ipod hufanya miziki yote iliyopo kwenye itunes iwe sawa nayo. hamna namna nyingine ya kuweka mziki ndani ya ipod na icheze tofauti na kutumia itunes. hivyo basi, download latest itunes hapa, install, add music unayotaka iwe kwa ipod yako, connect chagua synchronise.
 
Hebu nipe namba yako ya cmu ili 2ongee vizuri, ya kwangu ni 0714-408238.
 
nisamehe mkuu, sina simu kwa sasa. nitakuPM za mdogo wangu tuwasiliane jioni
 
yaan ni simple... Ww download itunes then chomeka cable kwenye ipod af i tunes ita detect na ku sycronise automatical... Hakuna ufundi wowote., ila bando iwepo coz inapo conect to i tune store huwa ina tumia network access,... Its easy ni kama process ya dk 3 tu., then mm nliwah kuliwa hela coz of da mara ya 2 nkatengeneza mwenyewe nlijuta kwa kutojaribu kutengeneza mwenyewe buku 10 yangu ikaenda bule...,.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom