Msaada Tafadhali!

Msindima

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,018
33
Jamani naomba kupata msaada katika hili,swali langu ni hili,mfano mkataba wangu mahali napofanyia kazi umeisha,baada ya kuisha nikalipwa haki zote za kumaliza mkataba,na pia nikatakiwa kusign mkataba mwingine lakini bosi anazungusha kila unapouliza anakwambia mwisho wa mwezi na hapo hapo tayari ameshakutengenezea kitambulisho kinachoonyesha kuwa wewe ni mfanyakazi wa kampuni hiyo mpaka 2011,na pia kwenye swala la mshahara anakwambia kuwa nyongeza yako ya mshahara haitakuwa included kwenye salary yako na badala yake unalipwa tofauti i mean haiko kwenye kwenye maandishi yoyote,my question is kuna vifungu vya sheria ambavyo vinaweza kutumika kumbana huyu mwajiri?kumbuka tayari ameshakuandalia kitambulisho, nahitaji ufafanuzi wenu katika swala hili.Have a nice week-end all jf members
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom