Msaada tafadhali.!!!

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,239
1,884
Nina akaunti yangu ya "yahoo" email, lakini huwa inanitatiza pale ninapojaribu kuifunga kuona sms inagoma kabisa ilhali email na password niliyoingiza ni za uhakika.
Nfanyeje wakuu coz nataka kucheck email zangu nilizotumiwa through hin account.!?
 
Unajaribu KUIFUNGA kuona sms (emails)?. Kama unaongelea kuifungua maana yake imekuwa hacked. Unaposhindwa kuingia kwenye email yako haribu kusoma maelekezo unayopewa hapo kwenye page ya ku-recover account yako.
Otherwise nakushauri ufungue account nyingine gmail ama ymail manake yahoo kwa kweli imepitwa na wakati kidogo.
 
siyo hacking..of late login into yahoo accounts imekuwa tatizo..i think watakuwa wanalishughulikia hili!
So, kama unahitaji urgently kufungua ur yahoo mails either bofya hapo palipoandikwa "can't login into my account" (au maneno yafananayo na hayo) then fuata procedures AU link ur yahoo mail kwa kupitia any other mail server u use!!!
 
Nina akaunti yangu ya "yahoo" email, lakini huwa inanitatiza pale ninapojaribu kuifunga kuona sms inagoma kabisa ilhali email na password niliyoingiza ni za uhakika.
Nfanyeje wakuu coz nataka kucheck email zangu nilizotumiwa through hin account.!?

inapogoma inasema nini? tatizo letu ni wavivu kusoma error messages!!
 
SMS kwenye Yahoo tena? Jaribu kulogin kupitia mobile site yao pamoja na kwamba upo kwenye Desktop Login ukishindwa hiyo click kwenye alternate login
 
Back
Top Bottom