Msaada tafadhali

Inawezekana. .
Kila siku wanasema humu "hata tukicheat haina maana hatuwapendi wake/wapenzi wetu jamani"...sasa kazi kwako.Unaweza ukachagua kuwaamini wao, au kua na mawazo yako binafsi kuhusu hilo swala. Jiulize wewe. .. . "kama unampenda mtu wako unaweza kuwa unatembea na mvulana sijui mwanaume mwingine?!"

Jibu utakalotoa litumie kufanya maamuzi.
 
Swali langu ni kwamba,Mwanaume anaekupenda,yaan boyfnd and girlfnd,anaweza kuwa anatembea na msichana mwingine,then anakuambia?.Halafu nyie muendelee tu kuwasiliana?inawezekana kweli au ndo anakufukuza kijanja?
natamani sana nami nichangie kwa kutoa jibu,lakini nahisi kama sijakupata vizuri,unaweza kuiweka sawa hii.
 
Anaekupenda hawezi kufanya kitu kama hicho,huyo anakufukuza kijanja,akili kichwan mwako.
Mtu anaekupenda hawezi kufanya upuuzi kama huo.
 
Anaekupenda hawezi kufanya kitu kama hicho,huyo anakufukuza kijanja,akili kichwan mwako.
Mtu anaekupenda hawezi kufanya upuuzi kama huo.

Kweli nimeamini,ni ujinga ndan yake.
 
natamani sana nami nichangie kwa kutoa jibu,lakini nahisi kama sijakupata vizuri,unaweza kuiweka sawa hii.

Namaanisha,una galfnd wako,halafu unatembea na mwanamke mwingine,unamwambia,then unalazimisha mawasiliano baina yenu wawili.That what i mean.
 
Duh! Yaani hiyo ni kali. Ni kama alifanya vituko vyote ukawa unavumilia mwisho akaona hiyo ndio njia rahisi utasepa tu utake ustake. Dah!
 
Aaa inategemea wengine kusex wanajua ni part time job....nakupenda ni long time job.
 
Duh! Yaani hiyo ni kali. Ni kama alifanya vituko vyote ukawa unavumilia mwisho akaona hiyo ndio njia rahisi utasepa tu utake ustake. Dah!

Inawezekana kabisa digna,ndo njia yake mbadala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom