Msaada tafadhali

mtoto mzee

Member
Nov 10, 2011
38
4
hivi channel gani ya Television ni nzuri for our local news? ITV wananiboa. bila kumwonesha Mengi kwa nusu saa, taarifa haijakamilika, TBCCM ndo huwa siiangaliagi, utadhani haina wawakilishi mikoani! Chanel Ten nao news yao ni mapema, nakua sijatulia... Nifanyeje?
 
Back
Top Bottom