Msaada tafadhali

Wanajamii samahani,naombeni msaada kwa anayeweza nielekeza zilipo ofisi za alliance autos ltd.
Sina hakika kama wana ofisi hapa Tanzania ila nimeona vibango vyao ktk show room ya CFAO Motors pale mlimani city, nafikiri ni subsidiary ya hiyo CFAO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom