Msaada tafadhali

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,829
8,619
habar wana JF!
naomba mwenye picha ya Bendera ya Tanganyika aiweke humu, samahani kwa kuwasumbua ila naitaka hiyo bendera ili tarehe 9 december niweze kuipeperusha vyema, kwa wale wanaopenda tanganyika nashauri pia waitafute na kuipeperusha juu ya paa za nyumba yao ikifika tarehe 9 kama ishara ya kukataa aina hii ya muungano. narudia tena, naomba radhi kwa watakao kwazwa na thread yangu.
 
wazanzibar watakupigia makelele manake wanaona unataka kuhatarisha muungano as hawawezi kujitegemea
 
wazanzibar watakupigia makelele manake wanaona unataka kuhatarisha muungano as hawawezi kujitegemea

najua watajitokeza hapa, ila sitajali kama wata'mind, hapa hatuhitaji kuvunja muungano, tatizo ni aina ya muungano tulionao.
 
Hi nchi hatuna chetu!wazenji wana bendera yao!watanganyika hatuna lolote zaidi ya ile bendera ya muungano!watanganyika amkeni tudai uhuru wetu!!tunahitaji nchi yetu!
 
Hi nchi hatuna chetu!wazenji wana bendera yao!watanganyika hatuna lolote zaidi ya ile bendera ya muungano!watanganyika amkeni tudai uhuru wetu!!tunahitaji nchi yetu!

mkuu bendera ya Tanganyika nasikia ipo ila imefichwa kwenye majengo ya makumbusho, nikiipata nitaipeperusha popote nitakakopita,
 
mkuu bendera ya Tanganyika nasikia ipo ila imefichwa kwenye majengo ya makumbusho, nikiipata nitaipeperusha popote nitakakopita,
mkuu ukisema ipo makumbusho basi haijafichwa kwani inatakiwa kukumbukwa. Ila naunga mkono hoja kuwa tunahitaji bandera yetu na nchi yetu. Finito.
 
najua watajitokeza hapa, ila sitajali kama wata'mind, hapa hatuhitaji kuvunja muungano, tatizo ni aina ya muungano tulionao.

wewe ndiyo miongoni mwa wale walionunuliwa na CHADEMA ili kuwasafisha na udini siyo, umeshashtikwa mapeeema. pole sana
 
wewe ndiyo miongoni mwa wale walionunuliwa na CHADEMA ili kuwasafisha na udini siyo, umeshashtikwa mapeeema. pole sana

ahahahahahaha! dah! mimi sio wa bei rahisi hivyo, huwezi kuninunua kwa vipande vya fedha wala sinia la ubwabwa, unaweza ukaninunua kwa hoja tu.
 
Nenda makataba yyt au tafuta kitabu cha kiswahili cha zamani kidogo (1980s) kinachoitwa tujifunze lugha yetu darasa la III utaipata humo bendera ya Tanganyika rangi zake na ilivyokuwa halafu katengeneze yako.
 
Attachments

  • Tanganyika-Flag.png
    Tanganyika-Flag.png
    469 bytes · Views: 22
Mtumba kubanike mbwai maaa? Mbona unatukumbusha uchungu tulioanza kuusahau japo kwa siku moja? tafadhali ukiipata na mimi nipatie nimpelekee fundi anishonee shati lenye rangi hizo.
oooh! ina maana bendera haipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom