Msaada tafadhali, Smart Phone ni nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,827
Naomba wajuzi wa teknolojia na mambo ya simu mnijuze, smart phone ni zipi, na kwanini zaitwa smart phone?
Je kuna smart phone feki? Je kila qwerty keyboard phone ni smart phone?
 
A smartphone is a high-end mobile phone[SUP][1][2][3][/SUP] that combines the functions of a personal digital assistant (PDA) and a mobile phone. Today's models typically also serve as portable media players and camera phones with high-resolution touchscreens, web browsers that can access, and properly display, standard web pages rather than just mobile-optimized sites, GPS navigation, Wi-Fi and mobile broadband access. The term smartphone is usually used to describe phones with more advanced computing ability and connectivity than a contemporary feature phone, although the distinction can be vague and there is no official definition for what constitutes the difference between them. The definitions also shift over time since many phones that are considered feature phones today can have capabilities that exceed those of phones that had been promoted as smartphones in the past.
Smartphones run mobile operating systems such as Apple's iOS, Google's Android, Microsoft's Windows Mobile and Windows Phone, Nokia's Symbian, RIM's BlackBerry OS, and embedded Linux distributions such as Maemo and MeeGo. Such operating systems (OS) can be installed on many different phone models, and typically each device can receive multiple operating system software updates over its lifetime. Smartphones run third-party applications using advanced application programming interfaces (APIs),[SUP][4][/SUP] which can allow those applications to have better integration with the phone's OS and hardware than is typical with feature phones. In comparison, feature phones more commonly run on proprietary firmware, with third-party software support through platforms such as Java ME or BREW.[SUP][1][/SUP]

for more information-check hapa


http://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...sg=AFQjCNFVMeTRdcmOTUBt0C7Sf4im0DA4Jg&cad=rja
 
Kwa uchakachuzi wa hali ya juu: SIMU YEYOTE AMBAYO INA UWEZO (AU INAKARIBIA) KUFANYA YALE YOTE AMBAYO KOMPYUTA YAKO INAYO(INAFANYA), wakati mwingine hata kuizidi!

Simu ambayo matumizi yake hayaishii kwenye kupiga na kupokea simu na kutuma na kupokea meseji.
 
Kwa ujumla ni simu ambazo zina uwezo advanced kufananisha na zengine. iPhone, Android phones, Bada, Symbian, Meego, Blackberry, Windows Mobile, Windows Phone 7, Palm Web OS, Palm OS.

Of course zipo feki.

Sio kila QWERTY ni smartphone, na majority ya smarphones ni touch siku hizi.
 
Kwa uchakachuzi wa hali ya juu: SIMU YEYOTE AMBAYO INA UWEZO (AU INAKARIBIA) KUFANYA YALE YOTE AMBAYO KOMPYUTA YAKO INAYO(INAFANYA), wakati mwingine hata kuizidi!

Simu ambayo matumizi yake hayaishii kwenye kupiga na kupokea simu na kutuma na kupokea meseji.

inawezekana kweli simu ya mkononi iishinde kompyuta kwa functions?
 
inawezekana kweli simu ya mkononi iishinde kompyuta kwa functions?
Oh sana!
Mimi ninayo hii
Procesor speed 100MHz, HDD 540MB, RAM 16MB
Ni IBM 486
Simu za sasa zingine zina Procesor speed zaidi ya mara 10 ya hii
hivyo zinafanya nambo ambayo hii haiyawezi kabisa!
IBM_486.jpg
 
Back
Top Bottom