Msaada tafadhali, Smart Phone ni nini?

Smati foni miye nazani ni ile simu ambayo inauwezo zaidi ya kutuma sms na kupiga simu kama kukonecti na internet kwa spidi ya uhakika, ina apps ambazo ni kama kakalukuleta, reminders, calender, camera, ramani na apps nyingine ambazo zinaweza kukuraisishia maisha bila ya kutumia kompyuta
 
In a nutshell, a smartphone is a device that lets you make telephone calls, but also adds in features that, in the past, you would have found only on a personal digital assistant or a computer--such as the ability to send and receive e-mail and edit Office documents.



 
okay kiurahisi smartphone ni simu inayofanya multtask. Yaani wafanya mambo mawili au zaid kwa mpigo. Mfano at the same time upo internet na hapo hapo waskiliza music na hapo hapo wachat xtreme tigo unachofanya unaminimize application moja na kutumia nyingine. Ukitaka kujua sana kuhusu smart phone angalia nokia.

nokia wana aina za simu za s40 na s60 hizi s60 ndo smartphone kama vile n na e series
 
Bujibuji bado una swali?

Maana ni muda sasa toka uulize swali na hukurudi kusema kama umeelewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom