Msaada tafadhali - namna ya kuweka link

ndugu wanajamii

naomba kueleweshwa namna ya kuweka link kwa mfano utakuta mtu amekuandikia email, halafu anakueleza kuwa bofya HAPA, Ukibofya unapelekwa moja kwa moja kwenye eneo hilo, mashikoro mageni wajameni naomba mnijuze
A%20S%20embarassed.gif

CLICK HERE
 
  1. kwanza kabisa fungua huo ukurasa unataka mtu apelekwe. Alafu copy link ya huo ukurasa (pale juu palipo andikwa www.[....].com)
  2. pili andika text yako, na uandike kama ulibo andika 'bonyeza HAPA'
  3. tatu, select neno 'HAPA' kisha ubonyeze kitufe cha hyperlink (unaona pale unapo badilisha rangi ya maandishi? a bold capital A? chini yake kuna kitufe cha dunia kimepigwa X neykundu, kulia kwake kuna kitufe cha ishara ya dunia, na kitu kama number nane imelala. ndio kitufe cha hyperlink).
  4. nne: ukibonyeza hapo utana kuna sehemu ya kuweka link, right-click hapo, paste. kama ulicopy vizuri, utapast link adress
  5. tano: gonga enter, the link is there
  6. post.
Appended: The hyperlink button looks like this:
hyperlink-thumb10864164.jpg
Mwali bonyeza HAPA
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom