Maumivu kwenye unyayo fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Kinacho nisumbua Mimi ni misuli ya miguu inanabana haswa ikivika usiku nikiwa kwenye usinginzi nashituka misuli imebana mpaka napiga makelele maumifu yake
Muscle clamp... Inatokana na upungufu wa Oxygen mwilini.Kwa sisi wacheza mpira inatutokea sana especially kama siku hiyo nakua nimekimbia sana mazoezini.tiba Mimi huwa nikibanwa na msuli nasugua sehemu husika mpaka inaachia.
 
..kuna hili TATIZO la sugu Kwenye nyayo ambapo inasabbisha maumivu makali Wakati wa kutembea , Wakati mwingine nalazimika kuzipunguza hizi sugu kwa kuzichonga na wembe. Mwenye kujua matibabu yake TAFADHALI.
 
Nawewe mtumie picha jamani, mvuto uwe mutual...maana waweza vutiwa wewe tu yeye asivutiwe ukafosi mambo then ulete lawama ooh wanaume wa dar hahahaha...ashakum si matusi
Kabla ya picha mkuu kwanza anifahamishe tu mduara wa duara ni kiasi gani kama upo ısıjekuwa mstatili
 
Wapendwa naomba mnisaidie. Miguu inauma kwenye nyayo ( the whole surface) tunapoganyakia- wengine wanaita makanyagio). Nikisimama ndiyo inauma zaidi. Ni kitu gani hiki?
 
Mie huwa inaniuma endapo nimesimama kwa mda mrefu ila sasa ya kwako chanzo ni nini?
 
Hellow JF Doctors

Naomba msaada wa kitaalam je hii ni sababu gani hadi napata maumivu ya kuwaka moto kwenye nyayo ya mguu wa kushoto ( hiyo sehemu nilizungushia) karibia na kwenye vidole.

Nikiamka asubuhi nikishusha mguu kitandani tu kukanyaga chini napata hizo pain kali sana mguu mmoja tu kisha after 10-20 min inapotea na hii ni kila
612dc062-5441-492f-ad37-37f70f6518a2.jpg
siku sasa for about 2weeks now.

Sina fever wala maumivu mengine yoyote yale. Mwili wangu na viungo vyake uko okay kabisa.

Naomba kujua tafadhali nisaidie naogopa sana
 
Hellow JF Doctors

Naomba msaada wa kitaalam je hii ni sababu gani hadi napata maumivu ya kuwaka moto kwenye nyayo ya mguu wa kushoto ( hiyo sehemu nilizungushia) karibia na kwenye vidole.
Nikiamka asubuhi nikishusha mguu kitandani tu kukanyaga chini napata hizo pain kali sana mguu mmoja tu kisha after 10-20 min inapotea na hii ni kila View attachment 776522 siku sasa for about 2weeks now.

Sina fever wala maumivu mengine yoyote yale. Mwili wangu na viungo vyake uko okay kabisa.

Naomba kujua tafadhali nisaidie naogopa sana

Tumia neuroton zitakusaidia
 
Mimi huwa sifanyi mazoezi kuna siku nikarujaruka wee nikapata tatizo kama hilo baada ya muda nafikiri kama mwezi hivi likaisha.Sijui wewe lilianzaje

Mkuu mimi nimejitafuti mwenyewe nikagundua sikufanya mazoezi waka kutembea mwendo mrefu wala kufanya kazi nzito katika week hizi mbili. Wacha nisubiri labda itapotea pia kama wewe nitafurahi sana maana haya maumivu ni balaa
 
Hellow JF Doctors

Naomba msaada wa kitaalam je hii ni sababu gani hadi napata maumivu ya kuwaka moto kwenye nyayo ya mguu wa kushoto ( hiyo sehemu nilizungushia) karibia na kwenye vidole.
Nikiamka asubuhi nikishusha mguu kitandani tu kukanyaga chini napata hizo pain kali sana mguu mmoja tu kisha after 10-20 min inapotea na hii ni kila View attachment 776522 siku sasa for about 2weeks now.

Sina fever wala maumivu mengine yoyote yale. Mwili wangu na viungo vyake uko okay kabisa.

Naomba kujua tafadhali nisaidie naogopa sana
Hiyo ni dalili ya kupata wageni,.. Mgeni yupo njiani andaa bajeti tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom