Maumivu kwenye unyayo fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,156
1594973592569.png

BAADHI YA MWASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Nina miezi kadhaa nasumbuliwa na maumivu ya miguu sehemu ya makanyagio (kwenye nyayo eneo la nyuma).

Nimejaribu kufuatilia kwa madaktari wanachukulia simple kuwa ni sababu ya uzito mkubwa. Hata hivyo kwa kadiri ya urefu wangu (165cm)na uzito wangu (69kg) nimezidi 4kg toka kwenye uzito wa chini kabisa naotakiwa kuwa nao.

Nashindwa kuamini kama kweli hiyo ndio sababu pekee ya miguu kuuma hasa ukizingatia mimi ni mwanaume na sivai viatu vyenye kisigino kirefu wala shughuli zangu hazihusiani na kutembelea sana. Naombeni msaada wenu wa kitaalam tafadhali.
---
Hellow JF Doctors

Naomba msaada wa kitaalam je hii ni sababu gani hadi napata maumivu ya kuwaka moto kwenye nyayo ya mguu wa kushoto ( hiyo sehemu nilizungushia) karibia na kwenye vidole.
Nikiamka asubuhi nikishusha mguu kitandani tu kukanyaga chini napata hizo pain kali sana mguu mmoja tu kisha after 10-20 min inapotea na hii ni kila View attachment 776522 siku sasa for about 2weeks now.

Sina fever wala maumivu mengine yoyote yale. Mwili wangu na viungo vyake uko okay kabisa.

Naomba kujua tafadhali nisaidie naogopa sana

MAONI NA USHAURI ULIOTOLEWA NA WADAU WA JF
Kuna kitu inaitwa plantar fasciitis , hata mimi ilishanipata na ilitokea kwasababu ya jogging beach ya zanzibar ( imekaa /) kidogo nikawa napata tabu hata kuvaa viatu.

Nilichoambiwa nikwamba ile misuli inakua imekaza kwahiyo inahitaji kulainishwa.
1. kwa mazoezi spesho
2. Zipo tiba nyingine kama massage na mafuta na pia vidonge kukuongezea madini yatakayo fanya ile misuli i relax

Mimi nilichagua mazoezi special...ambayo unafanya kwa nusu saa asubuhi na jioni, nilipata nafuu mkuu.

Haya mazoezi yapo kwenye app za simu play store...andika hilo neno download jitibu.

Pia viatu unavyovaa vyawezakuwa tatizo, jaribu kubadili. Ujue tuliumbwa kutembea peku kwahiyo vaa kiatu kinachokuruhusu kutembea comfotable kama peku.
---
Hata mimi niliwahi kuwa na tatizi hilo.

Uzito ndio chanzo cha tatizo.
Nina urefu wa 178cm na kwa kipindi hicho nilikua na uzito 89kg. Miguu ilikuwa inawaka moto balaa.

Nilienda hospitali waliniandikia sindano za siku tano, na walikua wananichoma kwenye visigino. Ni noma! Baadae kuna dada yangu daktari alinipa ushauri kua ni tatizo la uzito.

Nilianza kutafuta njia za kupunguza uzito. Nilikuja pia hapa JF kuomba ushauri.

Nichofanya, nilitafuta asali mbichi nikawa nakorogo kijiko kimoja kwenye kikombe cha chai, asubuhi na jioni. Ilikua ni lita moja, nikatumia hadi ikaisha nikawa nimepunguza kg 5.
Ni siku nyingi zimepita lakini nilifanikiwa kupunguza hadi kufikia kg 80. Tatizo la miguu kuwaka moto lilikwisha kabisa. Zile sindano nilizochomwa kwenye visigino, hazikusaidia kitu.

Ushauri wangu ni kujitahidi kupunguza uzito kwa njia yoyote ile. Hii ya kutumia asali inaweza isifanye kazi kwa watu wote, angalia njia itakayokufaa na kulingana na uwezo wako wa kifedha.

PIA SOMA
= > Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba
 
Na mimi pia nına tatizo hilo wenye ujuzi watupe ushauri urefu 176cm 85kg
 
Wengine ni wasanii, hata hivyo inakuwa ngumu kupata historia ya mhusika hapa kwenye public.
 
Kuna kitu inaitwa plantar fasciitis , hata mimi ilishanipata na ilitokea kwasababu ya jogging beach ya zanzibar ( imekaa /) kidogo nikawa napata tabu hata kuvaa viatu.

Nilichoambiwa nikwamba ile misuli inakua imekaza kwahiyo inahitaji kulainishwa.
1. kwa mazoezi spesho
2. Zipo tiba nyingine kama massage na mafuta na pia vidonge kukuongezea madini yatakayo fanya ile misuli i relax

Mimi nilichagua mazoezi special...ambayo unafanya kwa nusu saa asubuhi na jioni, nilipata nafuu mkuu.

Haya mazoezi yapo kwenye app za simu play store...andika hilo neno download jitibu.

Pia viatu unavyovaa vyawezakuwa tatizo, jaribu kubadili. Ujue tuliumbwa kutembea peku kwahiyo vaa kiatu kinachokuruhusu kutembea comfotable kama peku.
 
Hata mimi niliwahi kuwa na tatizi hilo.

Uzito ndio chanzo cha tatizo. Nina urefu wa 178cm na kwa kipindi hicho nilikua na uzito 89kg. Miguu ilikuwa inawaka moto balaa.

Nilienda hospitali waliniandikia sindano za siku tano, na walikua wananichoma kwenye visigino. Ni noma! Baadae kuna dada yangu daktari alinipa ushauri kua ni tatizo la uzito.

Nilianza kutafuta njia za kupunguza uzito. Nilikuja pia hapa JF kuomba ushauri.

Nichofanya, nilitafuta asali mbichi nikawa nakorogo kijiko kimoja kwenye kikombe cha chai, asubuhi na jioni. Ilikua ni lita moja, nikatumia hadi ikaisha nikawa nimepunguza kg 5.

Ni siku nyingi zimepita lakini nilifanikiwa kupunguza hadi kufikia kg 80. Tatizo la miguu kuwaka moto lilikwisha kabisa. Zile sindano nilizochomwa kwenye visigino, hazikusaidia kitu.

Ushauri wangu ni kujitahidi kupunguza uzito kwa njia yoyote ile. Hii ya kutumia asali inaweza isifanye kazi kwa watu wote, angalia njia itakayokufaa na kulingana na uwezo wako wa kifedha.
 
Umefanikiwa kuyaona hayo mazoezi mkuu? Ni vema pia utupe mrejesho.
 
Nina miezi kadhaa nasumbuliwa na maumivu ya miguu sehemu ya makanyagio (kwenye nyayo eneo la nyuma).

Nimejaribu kufuatilia kwa madaktari wanachukulia simple kuwa ni sababu ya uzito mkubwa. Hata hivyo kwa kadiri ya urefu wangu (165cm)na uzito wangu (69kg) nimezidi 4kg toka kwenye uzito wa chini kabisa naotakiwa kuwa nao.

Nashindwa kuamini kama kweli hiyo ndio sababu pekee ya miguu kuuma hasa ukizingatia mimi ni mwanaume na sivai viatu vyenye kisigino kirefu wala shughuli zangu hazihusiani na kutembelea sana. Naombeni msaada wenu wa kitaalam tafadhali.
Nenda kwa chiropodist atakusaidia.
 
Kinacho nisumbua Mimi ni misuli ya miguu inanabana haswa ikivika usiku nikiwa kwenye usinginzi nashituka misuli imebana mpaka napiga makelele maumifu yake
 
Nenda kwa chiropodist atakusaidia.
Sky eclat, huyo chiropodist yupo hospitali ipi na vipi garama ya matibabu yake...au mpatie namba ya huyo mtaalam. Maana kuna ma specialist wengine hatujui kama wapo hapa Tanzania. Ndio maana tiba mbadala wamechukua nafasi zao.
 
Mpendwa wangu, hata Agakhan hakuna, inasikitisha sana. Nikitafuta chiropodist wananiambia wana physiol therapist. Ninadhani Nairobi atapatikana wao wanashughulikia mguu kutoka kwenye ankle mpaka nyayo na vidole. Wanajua anatomy yote ya mguu.
 
Kinacho nisumbua Mimi ni misuli ya miguu inanabana haswa ikivika usiku nikiwa kwenye usinginzi nashituka misuli imebana mpaka napiga makelele maumifu yake
Mkuu matatizo mengine ya misuli unaweza kupata nafuu kubwa sana kwa kufanya mazoezi ya ku-stretch. Na kufanyia massage...kabla ya kutumia pain killers.

Kuna applications na video zina msaada sana na mazoezi specific kunyoosha kila aina ya msuli. Ukiwa serious ukifanya siku 3 unaona mabadiliko.
 
Baba zetu na kaka zetu pia ni wanaume wa DSM lakini mnzengua bwana, usitake nianze.
Sio wote. Wapo watu wanaheshima zao, wanaupendo, utu, uoga wa mungu na commitment to their partners. Sio kwamba mmoja akiboronga ndio wote. Hapana.

Na makosa yasitazamwe upande mmoja tu. Asa kama hapo juu mkuu kapenda urefu. Wengine wanafataga majina, ustaa, pesa...factors nyingine za kibinadamu zinawekwa pembeni.

Kasema hapo anauhakika jamaa atavutiwa, na mengine aliyonayo yatamvutia jamaa? Character etc....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom