Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,946
...Bandugu,
Nina laptop (Asus X51Rseries), keyboard yake in-hang nikikaa kama dakika tano bila ku-type kitu. Hadi ni switch off na ku switch on (hata RESTART function haifanyi kazi). Letter tabs nazo zipo ndivyo sivyo (kwa mfano + inanipa - n.k n.k).
Naomba msaada kurekebisha hii maneno. Natanguliza shukurani zangu za dhati.