Msaada Tafadhali: Jinsi ya ku - attach File kubwa katika e-mail.

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,918
6,007
Salaam wana JF!

Naomba msaada wenu. Jana Jioni nilikuwa na compile taarifa zangu za kazi ktk template fulani iliyo ktk Microsoft Office Excel (9.89MG). Baada ya kumaliza kuandaa kazi yangu, nilijaribu kutuma taarifa zangu kwa njia ya e-mail kwa mkuu wangu wa kazi bila mafanikio. Nadhani File husika ni kubwa na njia niliyotumia yawezekana siyo sahihi! Mwenye kujua jinsi ya ku-attach file kubwa kubwa naomba msaada jinsi ya kufanya.
 
Kama una account ya google jaribu kuiattach na kulishare kwenye google docs Hapa naona wanacheza wa doc ya excel wanaruhus hata more than 10 MB kwa spreedsheet soma hapa uone kama hiyo doc inakidhi vigezo vingine

Back
Top Bottom