Msaada tafadhali, hasira zinanizidi.

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,828
8,618
Habari zenu wadau,
naombeni msaada wenu wa kitabibu kuhusu kuzidiwa hasira,
kadri mda wa bunge unavyozidi ndivyo na mimi huzidiwa hasira, nimejitahidi kutolifuatilia na kujaribu kuweka pamba masikioni ila najikuta pamba zimedondoka na luninga inaleta kiyoo chenye picha ya bunge, nazidiwa hasira zaidi nikiona picha ya kiti na wanaoongoza kiti, hasira zinazidi zaidi nikiona picha ya wanaolindwa na kiti hasa wanapovunja kanuni,
jamani nipo serious, naombeni ushauri wenu watalaam maana kadri siku zinavyozidi nahisi kupatwa na mawazo ya kutembea na kisu ambayo ndiyo silaha pekee ninayomudu kuinunua,
asanteni.
 
Pigana na ukuta..au omba ushauri kwa abduel mkutane pale leaderz, atakueleza.
 
Waungwana walisema maumivu ya kichwa huanza pole pole, sasa usijali najua sasa hivi vichwa vinawauma sana
sijawasoma,

mkuu Elli , man , Henge , nisaidieni aisee, nahisi kuua hata raia mtaani wasiotaka kuniunga mkono kuingia kitaa kupinga huu uongozi DHAIFU wa sirikali ya sasa, wapi madokta aisee?
 
Mkuu magamba wanakupa hasila hivyo, Vumilia tuuu!:flypig:
 
Habari zenu wadau,
naombeni msaada wenu wa kitabibu kuhusu kuzidiwa hasira,
kadri mda wa bunge unavyozidi ndivyo na mimi huzidiwa hasira, nimejitahidi kutolifuatilia na kujaribu kuweka pamba masikioni ila najikuta pamba zimedondoka na luninga inaleta kiyoo chenye picha ya bunge, nazidiwa hasira zaidi nikiona picha ya kiti na wanaoongoza kiti, hasira zinazidi zaidi nikiona picha ya wanaolindwa na kiti hasa wanapovunja kanuni,
jamani nipo serious, naombeni ushauri wenu watalaam maana kadri siku zinavyozidi nahisi kupatwa na mawazo ya kutembea na kisu ambayo ndiyo silaha pekee ninayomudu kuinunua,
asanteni.

mKUU NTAKULETEA CD ZA FILMS USIANGALIE TENA AU TUMIA VYEMA KING'AMUZI CHAKO MKUU!
 
Mkuu pole sana na hizo Hasira za ajabu. Mimi ninakuuliza maswali yangu haya (4) Swali (1)kwanza una umri gani? Swali la pili (2) umeowa au una mpenzi? swali langu la (3) unakuwa unafanya tendo la ndoa au tendo la Mapenzi (SEX) kwa Mwezi huwa unafanya mara ngapi? Swali langu (4) Wewe muumini wa dini gani? Ninaomba unipe majibu Maswali yangu Mkuu.@zumbemkuu

Kuthibiti hasira

Hasira ni nini?
Ni hisia ambazo huanza polepole na kupanda kiasi cha mtu kushindwa kujizuia na kubadilika mpigo wako wa moyo kicho chochote kuwameza kusababisha hasira kuanzia kwa kusubiri kwenye mlolongo wa msongamano wa magari hadi kwa kutoelewa na kubaya.

Ni nini baadhi ya dalili?

  • Kushambulia watu wa maneno makali
  • Kuropokwa kwa sauti
  • Kupigana
  • Kuharibu vitu

Unazuiaje na kutibu hali hii?

  • Pumua hewa nje na ndani kwa kina.
  • Jaribu kulete mzaha katika hilo jambo
  • Fikiria kuhusu mahali ambapo patakufanya utulie na upumzike
  • Zungumzia na mtu ambaye amekukasirisha kuliko kukaripia
  • Kaa mbali na hali ambapo unajua zitakufanya ukasirike
  • Pata nasaha

mkuu MziziMkavu
nina umri wa miaka 33.
nimeoa.
nina do daily.
dini yangu mwafrika. (sina bahati ya kutekwa na dini za wageni.)

asante kwa ushauri mkuu ila sidhani km ntaweza kuzungumza na hili BANGE lote huko dodoma, nimejaribu pia kwenda pale magogoni mara nyingi ili nionane na meneja wa magogoni niseme yote ya moyoni lakini sikupata bahati hiyo,
 
Last edited by a moderator:

wangepatikana watu mia kama wewe tungesikia tu siku dodoma kuna wehu wameingia kufanya fujo na siraha za jadi
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wadau,
naombeni msaada wenu wa kitabibu kuhusu kuzidiwa hasira,
kadri mda wa bunge unavyozidi ndivyo na mimi huzidiwa hasira, nimejitahidi kutolifuatilia na kujaribu kuweka pamba masikioni ila najikuta pamba zimedondoka na luninga inaleta kiyoo chenye picha ya bunge, nazidiwa hasira zaidi nikiona picha ya kiti na wanaoongoza kiti, hasira zinazidi zaidi nikiona picha ya wanaolindwa na kiti hasa wanapovunja kanuni,
jamani nipo serious, naombeni ushauri wenu watalaam maana kadri siku zinavyozidi nahisi kupatwa na mawazo ya kutembea na kisu ambayo ndiyo silaha pekee ninayomudu kuinunua,
asanteni.

Mkuu, kama uko Dar, nenda mtaa wa Lumumba opposite na mgahawa wa Falcon pana jengo la rangi ya kijani na manjano limeandikwa "ofc ndogo ya makao makuu......" Ingia humo omba kadi ya uanachama, utalipia hela kidogo then utapewa kadi ya uanachama yenye rangi ya kijani(chani kiwiti), hapo hasira zote zinakwisha!

"IF YOU CAN'T BEAT THEM, JOIN THEM"
 
ayayayayayaayayayayayayayayayayayaya
 
umewakilisha tu....karibu watz wote wanahasira km wewe na wengi naamini wamekuzidi....mpaka sasa watu kadhaa wamegombana kwa sababu ya mabishano kuhusu mijadara inavyoendeshwa bungeni......SISI CCM NCHI IMETUSHINDA HAPA TUNASUBIRI WKT TU TUWE CHAMA KIKUU CHA UPINZANI BUNGENI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom