Msaada Tafadhali, Hali mbaya-ofisi chungu!

Nina layers from autocad nadhani with .dxf extension mtu kanitumia, ziko kwenye UTM, nataka kutengeneza map kwenye GIS.
Shida nayopata ni kuwa haziendi sehemu nayotaka, nashindwa kufanya projection.

Nimejaribu kuset layers zote kwenye Arc1960 Zone 36S bado hazikai, je kuna utaalamu mwingine?

Coordinate unaandika kwa format gani in GIS na format gani in autocad? Labda jibu liko hapo? Unatumia excel?
I think it is easier to do the job in autocad and make a map in GIS but not the other way round as GIS is poorer
 
Nina layers from autocad nadhani with .dxf extension mtu kanitumia, ziko kwenye UTM, nataka kutengeneza map kwenye GIS.
Shida nayopata ni kuwa haziendi sehemu nayotaka, nashindwa kufanya projection.

Nimejaribu kuset layers zote kwenye Arc1960 Zone 36S bado hazikai, je kuna utaalamu mwingine?

Nadhani shida kubwa itakuwa kwenye settings za GIS software yako Kongosho, jaribu ku extract coordinate ya sehemu yoyote Tabora alafu compare na coordinates za sehemu hiyo hiyo kwenye hizo layer za dxf ulizotumiwa....
 
Last edited by a moderator:
Is this really an HR matter? zaidi naweza kusema ni Health and Safety...
Ukweli unauma na unaua, still you have to uphold the fact that he or she is stinky. Ilinitokea kwa subordinate wangu kuwa na hali hiyo, na wengine pia. Nilijaribu kuseek advice on the best approach, all became futile. Nikaitisha kikao, pamoja na mengine nikatoa elimu ya usafi, wa kinywa, kwapa, mwili (kinyakyusa wanaita "ali ni kyela"), baada ya hapo ikawork. Todate everybody enjoys a fresh air.
 
ahahahahahhaaaaaa heheheheheeeeeeee uwiiiiiiiiiii lol nimecheka sana japo kwako ni shida aaah ila nimecheka sana hasa kukufuata as personal help umfundishe kazi lol pole ila mie kwangu burudani

Unanicheka badala ya kunipa maujanja ya kujiokoa jamani tena, nataabika mwenzio aisee.
 
ehehheeeeee pole sana ngoja nimuombe best yangu aje akusaidie mi nashindwa kila nikitaka kutoa ushauri naskia kucheka tuuuu heheheheeeeeee
 
Ushauri mwingine mkuu unaweza kumleta hapa kwenye hii thread kwa njia mbadala ili ajisomee yaliyojiri. Anza kwa kutuponda wanaJF kwamba tunajidai tunajua sana. Halafu unamfungulia kwenye hii thread huku ukimwambia " Embu ona yanavyoongea pumba humu"!? Akisoma Kama ana akili timamu atapata ujumbe,Ila Kama ana akili za kina Mwigulu Nchemba ndio atataka kukupa Hug kabisa.
 
Hili tatizo la watanzania kuogopa kuelezana ukweli kwenye mambo muhimu ndio inaturudisha nyuma kwenye mambo mengi ya msingi. Hivi mtu mzima ukiamua kwa dhati kabisa kumueleza huyo mtu kuwa hali yake ya mwili au mavazi si nzuri kuna ubaya? Kipi bora sasa kutomwambia na kuendelea kupatakero ya harufu mbaya au bora kumueleza ajue ili mradi tu liwe ni jambo la kweli ambalo angalau na wafanyakazi wengine nao wanalijua na si unafiki na uzandiki tu...Sioni ubaya kumueleza wazi katika lugha na mazingira yay kiungwana tu.
 
Nina layers from autocad nadhani with .dxf extension mtu kanitumia, ziko kwenye UTM, nataka kutengeneza map kwenye GIS.
Shida nayopata ni kuwa haziendi sehemu nayotaka, nashindwa kufanya projection.

Nimejaribu kuset layers zote kwenye Arc1960 Zone 36S bado hazikai, je kuna utaalamu mwingine?

Hapo umenichanganya big time, mi natumia GIS kama Surveyor akisha nitengenezea map. Hayo ya kuhamisha nawaona wakifanya kwa mbali, sina utaalam. Ngoja aje huyu huyu Sokwe Mjanja tumbane. Sasa kwanini usimalize kazi na Autocad sasa?
 
Last edited by a moderator:
Ushauri mwingine mkuu unaweza kumleta hapa kwenye hii thread kwa njia mbadala ili ajisomee yaliyojiri. Anza kwa kutuponda wanaJF kwamba tunajidai tunajua sana. Halafu unamfungulia kwenye hii thread huku ukimwambia " Embu ona yanavyoongea pumba humu"!? Akisoma Kama ana akili timamu atapata ujumbe,Ila Kama ana akili za kina Mwigulu Nchemba ndio atataka kukupa Hug kabisa.

Wamesema jamaa hajui kiswahili. Anaongea french na english ya kuunga
 
Ukweli unauma na unaua, still you have to uphold the fact that he or she is stinky. Ilinitokea kwa subordinate wangu kuwa na hali hiyo, na wengine pia. Nilijaribu kuseek advice on the best approach, all became futile. Nikaitisha kikao, pamoja na mengine nikatoa elimu ya usafi, wa kinywa, kwapa, mwili (kinyakyusa wanaita "ali ni kyela"), baada ya hapo ikawork. Todate everybody enjoys a fresh air.

Amesha fanya hivo kwenye toolbox meeting za kila asubuhi, amewaombea hadi uniforms mpya bila mafanikio.
 
Niliwahi kupatwa na jambo hilo nikifanya kazi ASIA ofisi za UN ambko tulikuwa na watu wa kushughulikia maswala ya ushauri. Huyu jamaa wao hawapigi mswaki waume kwa wake na usafi ni tatizo hasa asubuhi - wanakula chakula cha ajabu anapoinama kwenye computer ili msaidiane jambo.
Ushauri kama uliopo hapo waweza kuona kama kuna watu wazuri HR kufikisha ujumbe huo na upate mrejesho kama wameongea naye.
Kummwabia wewe kwa vile ni mgeni si jambo la busara bora kuandika karatasi ujumbe aupate lakini kama tatizo ni matibabu anaweza asifanye.- Anza na HR subiri maendeleo
 
Wamesema jamaa hajui kiswahili. Anaongea french na english ya kuunga
Mimi najitolea ku-Google translate hii thread yote into French. Ataisoma tu.
Kwa kuanzia tu nampa kipande cha malalamiko cha mleta mada "Jamani J'espère que vous êtes complètement sûr et ces messieurs qui ont marqué fortement, puis la miséricorde de Dieu Tout-Puissant et ziwatangulie mauvaise maintenant entendu. Votre frère et moi avons un problème devient grave chaque fois que vous"
 
Nadhani shida kubwa itakuwa kwenye settings za GIS software yako Kongosho, jaribu ku extract coordinate ya sehemu yoyote Tabora alafu compare na coordinates za sehemu hiyo hiyo kwenye hizo layer za dxf ulizotumiwa....

Hapo umenichanganya big time, mi natumia GIS kama Surveyor akisha nitengenezea map. Hayo ya kuhamisha nawaona wakifanya kwa mbali, sina utaalam. Ngoja aje huyu huyu Sokwe Mjanja tumbane. Sasa kwanini usimalize kazi na Autocad sasa?

Asanteni sana!
 
Jamani natumaini mko salama kabisa na wale waungwana waliofunga kwa dhati basi rehema za mwenyezi Mungu ziwatangulie na toba zao zisikike. ndugu yenu nina tatizo moja na linakuwa serious kila muda unavyozidi kwenda. Nimeanza kazi mahali sina muda mrefu sana kuna bwana mmoja subordinate kwa level kama 2 chini ananuka sana wakuu, ninashindwa kumwambia na hata wenzake hawamwambii.

Siku hizi ameanzisha mchezo wa kupenda kujifunza kazi sasa muda wote anataka awe pembeni yangu! Ninapata shida hasa, mwanzoni nilidhani alijisahau akajisaidia ndani ya nguo ila naona ni kila siku na hali inazidi kuwa mbaya. Nguo zake kwa nje sio chafu sana ajabu!

Nashindwa kumwambia maana kwanza ni mgeni mimi kisha ni mtu mzima kanizidi umri na mwenye familia yake huko street. Ninahisi nikimwambia atajisikia vibaya sana na atachukia kazi. Anapenda mno kuendesha gari inapotokea kazi ya nje anakimbilia funguo sasa humo ndani ya gari na vioo vimefungwa kwa kuwasha AC ni balaa, mazingira ya kazi ni muhimu kufunga vioo vya gari kila mara, hadi ninahisi nikishuka kwenye gari ninakuwa na mimi nimeambukizwa harufu!

Nifanye nini wakuu?

du pole mkuu ila kama office chungu meza sukar
 
Hili tatizo la watanzania kuogopa kuelezana ukweli kwenye mambo muhimu ndio inaturudisha nyuma kwenye mambo mengi ya msingi. Hivi mtu mzima ukiamua kwa dhati kabisa kumueleza huyo mtu kuwa hali yake ya mwili au mavazi si nzuri kuna ubaya? Kipi bora sasa kutomwambia na kuendelea kupatakero ya harufu mbaya au bora kumueleza ajue ili mradi tu liwe ni jambo la kweli ambalo angalau na wafanyakazi wengine nao wanalijua na si unafiki na uzandiki tu...Sioni ubaya kumueleza wazi katika lugha na mazingira yay kiungwana tu.

kuna wengine ukiwaambia mkuu ni matatizo.
 
Pole sana ndugu, kama jamaa anakula pombe na wewe ni mnywaji japo kidogo, inaweza kuwa simpo, mpe ofa, kisha fikisha ujumbe bila jasho. Samahani kama nimekukwaza.
 
Mimi najitolea ku-Google translate hii thread yote into French. Ataisoma tu.
Kwa kuanzia tu nampa kipande cha malalamiko cha mleta mada "Jamani J'espère que vous êtes complètement sûr et ces messieurs qui ont marqué fortement, puis la miséricorde de Dieu Tout-Puissant et ziwatangulie mauvaise maintenant entendu. Votre frère et moi avons un problème devient grave chaque fois que vous"
Hahahahaha, toi Hypopotame pour eux. You are hypo of them! (translation: we ni kiboko yao)
 
Ushauri mwingine mkuu unaweza kumleta hapa kwenye hii thread kwa njia mbadala ili ajisomee yaliyojiri. Anza kwa kutuponda wanaJF kwamba tunajidai tunajua sana. Halafu unamfungulia kwenye hii thread huku ukimwambia " Embu ona yanavyoongea pumba humu"!? Akisoma Kama ana akili timamu atapata ujumbe,Ila Kama ana akili za kina Mwigulu Nchemba ndio atataka kukupa Hug kabisa.
ww ni kichwa
 
Back
Top Bottom