King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
You are right. Sehemu ya health and safety is psychosocial issues. Kuna subtopic ya personal issues zinapoingilia kazi. Ila asikudanganye kumuambia mtu one on one ni ngumu sana. Ana dada zake na kaka zake na wachumba pia! Hao wangetosha kum'badilisha. Na hao coaligues wa zamani woote hakuna wa kumuambia hadi ukaseme wewe? Uzuri wa pua inaadapt to mazingira haraka. Jidunge uturi wa maana, achana nae bana!
Is this really an HR matter? zaidi naweza kusema ni Health and Safety...