Msaada Tafadhali - Generator

Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,489
1,814
Wakuu naomba msaada wa aina na mahali pa kupata Generator ya umeme kwani nina mtoto mdogo ambaye umeme ukikatika anasumbua sana. Naomba kujuzwa aina ambayo ni imara, inayotumia mafuta kidogo na yenye ufanisi kwa ajili ya kuwasha taa na TV. Bajeti yangu ni kama 350,000 +. Natanguliza shukrani za dhati

Nakaa hapa Dar Es Salaam
 
Gen set nyingi ndogo ni make ya china.jaribu pale Car&General wapo baada ya posta mpya unaweza kupata brand nzuri
 
Kuna thread ilipita hapa jf sina uhakika ni jukwaa gani,
watu walishauri barabara ya uhuru, ukitoka ''keepleft'' cha msimbazi kama unaelekea mnazi mmoja kuna duka lililoko opposite na kituo cha mafuta cha TOTAL,
Jaribu kufika hapo
 
Wakuu naomba msaada wa aina na mahali pa kupata Generator ya umeme kwani nina mtoto mdogo ambaye umeme ukikatika anasumbua sana. Naomba kujuzwa aina ambayo ni imara, inayotumia mafuta kidogo na yenye ufanisi kwa ajili ya kuwasha taa na TV. Bajeti yangu ni kama 350,000 +. Natanguliza shukrani za dhatiNakaa hapa Dar Es Salaam
Tembelea maduka ya Kariakoo hasa mtaa wa Uhuru. Utakuta jenereta kibao za kichina
 
Tembelea maduka ya Kariakoo hasa mtaa wa Uhuru. Utakuta jenereta kibao za kichina

Aksante, Lakini hiyo ya kichina haina mgogoro, naomba mwenye uzoefu nazo ili niweze kwenda hapo na chaguo
 
Back
Top Bottom