Msaada tafadhali- Airtel chat kero!

josephjul40

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
218
40
Jamani mnisaidie kufahamu namba ya mtu anayekutumia hizi sms za airtel chat, maana sasa inakuwa kero kuna watu wanasumbua sana, nahitaji kuweza kufahamu namba za huyo anayenitumia sms hizi za airtel chat. Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom