Msaada swali la DS

Maiga

Member
Oct 22, 2011
59
3
Economic growth is all that matters to reduce poverty in t(T)anzania, do u (do you) agree? Nipe factor ma great thnker (Thinkers)

Kuwa msomi makini kwa kutumia sarufi kwa ufasihi zaidi, Ukiandika hizo SMS language kwenye jibu lako utanyimwa alama na mhadhiri wako....
Paw
 
Maiga, ilipendeza saana kama walau ungejibu vile uwezavyo then upewe walau mawazo na nyongeza... Sorry kama nakosea BUT naona kama vile haitakusaidia in the long run... Mie nakuahidi ukileta jibu hapa. Nitaongeza kile ambacho ninacho kwa urefu kabisa.
 
Lol...wifi umemshtukia mwanafunzi anaibia eeh? Aseme alichonacho then tumjazilishie. Anataka kucopy akapestie kwenye daftari la test.

Nje ya mada: mzima wifi yangu kipenzi?
 
Lol...wifi umemshtukia mwanafunzi anaibia eeh? Aseme alichonacho then tumjazilishie. Anataka kucopy akapestie kwenye daftari la test.

Nje ya mada: mzima wifi yangu kipenzi?

Nimegundua bana... Nataka saana kumsaidia, but to help itakua bora kwanza awasilishe alicho nacho then we move on.... Sweetlady wifi yangu Mpenzi i have missed you naona twapishana tu!
 
Ni vema ukajijengea uwezo wa kufikiri na kufanya jambo kama hili indepently

Wasiwasi ni kesho kutwa ume-graduate na first class ya "JF" (Kwa kuwa majibu unayatoa hapa) halafu tunakuweka idara ya mipango then huwezi kupanga chochote

Pambana mkuu na uthibitishe u-great thinker wako kwenye hilo swali hasa ukizingatia hiyo ni Social Science na siyo natural science
 
Wakuu nimewaelewa,kwel reference kitu kingne,nimejarbu ku google,il nipate mwanga kidogo maana library duh,hali ni mbaya,ila ngoja namim ning'amue ,kama great thnker whatever'
 
Kwa Uelewa Wangu Kidogo Wa Economics Inabidi U disagree, sababu Uchumi Unaweza Ukawa Umekuzwau kupitia Sekta Ambazo Haziwezi kumsaidia Masikini Moja kwa Moja,.Mf Kupitia Madini,Utalii nk
 
Wakuu nimewaelewa,kwel reference kitu kingne,nimejarbu ku google,il nipate mwanga kidogo maana library duh,hali ni mbaya,ila ngoja namim ning'amue ,kama great thnker whatever'

Nadhani nji rahisi na nzuri ya kukujibu ni kwa maswali
  • What is economy?
  • What is Poverty ( is it 200 USD per month per person or is it 100 USD per month ?,au ni uwezo wa serikali kugharima bajeti yake)
  • Wht is economic growth ( KWenye Ds sio lazima uchuke defition ya IMF kama uko njema unaweza kuichallenge defitin ya IMF)
  • Find relevant data of country's economic growth Vs Poverty (Norway, USA, Canada, China, Tanzania)
  • etc etc etc
Japo sio mchumi kinachatokiwa kuondoa poverty wa tanzaia sio ecnomic growth pekee bali pia ni distibution of wealth. Kwa hali ilivyo hata tukiwa na double digit kwenye economic growth kwa defition ya IMF watafaidika watu ya mujini, tena wachache sana.

Ila mzee duh DS kwako ndio imeanza kuwa tishio k iasi hicho au ni maigizo + uvivu
 
Acha kabisa kuuliza maswali unayopewa darasani humu. Unataka sisi walimu wako tunaokupa maswali tukupe majibu alafu mwisho wa siku tukajisahihishe wenyewe? Kama una burning issue anzisha debate, na debate ianze na mtazamo wako kwanza ili watu wajue pa kuanzia na waweze kuendeleza mjadala. Acha tabia ya kuleta maswali ya darasani ili upate majibu. Hii itakupeleka pabaya. Watoto wa siku hizi sijui mkoje, "You want people to think on your behalf?"
 
  • Thanks
Reactions: Paw
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom