Msaada: Stesheni ya radio

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
WanaJF mambo vp? Kwemaaa?.Jamani naombeni msaada kwenu wa nini cha kufanya na ni mahitaji gani ya muhimu yanayotakiwa.Jamani ndugu zangu ninahitaji kuanzisha kituo cha radio cha kurusha matangazo kuanzia umbali wa kilomita 3 hadi 5 kwa majaribio kwanza.Baada ya hapo ndio nishughulikie taratibu zinazotakiwa kisheria.Natumai mtanipa msaada wa mawazo pia kiufundi cha nini natakiwa nifanye natanguliza shukrani mimi mwanaJF mwenzenu.
 
Ucjaribu ata kurusha kwa Nusu KM.unakaribisha Pingu mkuu
TCRA sheria inawaruhusu kukukamata na kukufunga iwapo utarusha matangazo ya Radio bila kibali.
Unaweza kufungua Redio ya FM ya kucover 100KM to 200KM kwa dola 50,000$ . Au comunity FM radio kwa 25000$. Unatoa hiyo pesa kwa consultant anakukabizi kito chako fully ,unaingia studio na kuanza kurusha Ndomboro.
 
WanaJF mambo vp? Kwemaaa?.Jamani naombeni msaada kwenu wa nini cha kufanya na ni mahitaji gani ya muhimu yanayotakiwa.Jamani ndugu zangu ninahitaji kuanzisha kituo cha radio cha kurusha matangazo kuanzia umbali wa kilomita 3 hadi 5 kwa majaribio kwanza.Baada ya hapo ndio nishughulikie taratibu zinazotakiwa kisheria.Natumai mtanipa msaada wa mawazo pia kiufundi cha nini natakiwa nifanye natanguliza shukrani mimi mwanaJF mwenzenu.

Japo si mtaalamu wa mambo ya radio nachojua kuna frequncy ambayo ni unlinced na hiyo ipo kwa ajili ya watu kutumia kwa mambo yao private na kufanya reseach na majaribio mengine na matumizi ya home network. Ina operate katika 2.4Ghz

VIle Vile Piga simu waulize TCRA kama wana frequnncy amabazo wanafuzi wanaweza kutumia kujifunza kwa vitendo mambo ya radio cmmunication bila gharama may be inaweza kuwepo. Na kwa mtazamao wangu zinatakiwa kuwepo unlinced frequncy kwa ajili ya reserch japo mara nyingi kutakuwa na kikwano kikubwa cha interferences

Unaweza kujaribu kuagalia uwezzekano wa hiyo 2.4 frequenzy hiyo lakini sidhani kama itaweza kufika umbali huo na sijui kama kuna radio receiver inaweza kuckua singal za masafa hayo. Any way ni crazy idea sina detailed knowledge na radio communication

Ukifanikiwa uje utupe shule hapa
 
Ngoja nijaribu wakuu nione nitakwamia wapi ila kabla ya kuwauliza TCRA nilitaka kufahamu wapi vinauzwa hivyo vifaa vya kuanzisha stesheni ya radio kwa hapa bongo
 
Back
Top Bottom