Msaada; software ya kudownload mp3

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Habari zenu wdau, naomba mniwezeshe kupata software ya bure itakayoniwezesha kudownload mp3, hasa bongostar link.
 
nahisi unazungumzia webpage itakayokuwezesha kupata nyimbo nyingi za kibongo...ila software ya kudownload...there are hundreds of downloading managers available online....!!
 
alwayz make google your best friend.
Just google "download free downloading manager"
 
Samahani mwenye sredi.

Naomba kufahamu software inayoweza ku-compress MP3 files, nimewahi kuiona mahali ila siikumbuki jina. Inayafanya mafaili kuwa madogo (size) zaidi hivyo kuweza kuingia mengi zaidi katika mem card
 
search "free mp3 converter" mi naitumia ni nzuri
 
Nami nimefaidika na jibu lako.ni ipi hasa mkuu mbona google naziona nyingi
 
Back
Top Bottom