Msaada software kwa ajili ya kutengeneza kadi mbalimbali

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Nimekuja kupata msaada hapa kwa wataalamu wa software. Nahitaji kujua kama naweza kupata software kwa ajili ya kudisign cards mbalimbali najua kutumia publisher tu. Nitashukuru kwa msaada wenu hata ushauri
 
na kuna software inaitwa print artist (sierra) itafute nayo nzuri na inakuja na sample nyingi (pre-designed cards)
 
na kuna software inaitwa print artist (sierra) itafute nayo nzuri na inakuja na sample nyingi (pre-designed cards)

nashukuru vipi siwezi kuipata online au wapi naweza kuinunua na ni bei gani samahani kwa maswali mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom