Msaada SMTP server ya TTCL

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,695
2,553
Wakuu naomba kujua SMTP server ya TTCL inaitwaje jamani manake natumia TTCL Broadband huku bush na mara nyingi nimekuwa natumia outlook kwa ajili mawasiliano mbali mbali lakini nina kama wiki tatu napokea tu mail kutuma inakataa.

Katika kuuliza ndio nikaambiwa niweke outgoing server ya TTCL kama naijua, kumbe kichina wana mjuzi asisite kunipa elimu najua na wengine pia itawafaa. kwa kutumia zain modem pia ninaweka SMTP ya zain mambo yanakuwa poa.

TTCL BB naiona nafuu kidogo kulinganisha na huduma zingine hata hupatikanaje wake ni rahisi huku ambapo ni mawasiliano ya kuunga-unga.
 
Unatakiwa uweke server adress ya provider wako kwa kawaida, so kama unatumia Gmail weka server yao etc.
 
Back
Top Bottom