Msaada: Siwezi ku-log into my Yahoo e-mail account

Moseley

Senior Member
Jul 10, 2010
187
94
Jamani naomba msaada wenu:

Ni week moja sasa imepita, ninashindwa kufungua account yangu ya yahoo.. Nasumbuka kweli,maana ni account pekee yenye details za mhimu sana kwangu..

Nifanyaje? Maana password ni ile ile niliyokua naitumia siku zote... Na hakuna mtu niliewahi kumpatia..
 
umeshajaribu kubadilisha pc?..
Ukiweka id yako na password kunasemu imeandikwa .."i can't access..." jaribu ku-click hapo, jaribu kujifanya umesaha password yaani unataka ku-reset
 
Ishawahi kunitokea hivyo mara kadhaa lakini tatizo lilikuwa ni net yenyewe na mara nyingine ni pc! Kuna link niliwahi ipata nikawa naaccess account yangu katika mfumo wa outlook, ila nimeisahau. Jaribu ku google unaweza kupata
 
Back
Top Bottom