Msaada: simu yangu mode ya iPHONE.

Dr Kingu

Senior Member
Jun 13, 2011
154
43
Habari wandugu. Nina cm yangu mode ya iPHONE ya kichina tangu niinunue haijawahi kunisumbua. Jana niliiweka kwenye mfuko wa suruali nikalala nilipoamka ikawa haisense kwenye screen, nimejaribu kuwasha na kuzima bado hairepond. Naomba msaada wandugu sijatumia internet siku zima leo ndo sasa nimechukua cm ya wife naitumia. Please saidia
 
hamna msaada,umesema ya mchina,tupa nunua nyingine
 
Jichange uchukue kitu original cha apple..huyo mchina siku zake zshafika.
 
Back
Top Bottom