Msaada simu hii inanigomea "htc with google" 'T-mobile'

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Msaada wenu plz inanigomea kwenye google au internet kiujumla nikiklick inasema "the webpage might temporaly down or moved permanently to another web page" msaada wenu plz na pia kuna sehemu ya map inasema inahitaji pasword za jina la mtu na mi simfaham kwasabu nilinunua kwa mtu msaada plz?
 
Reset simu, itafuta kila kitu. Settings > privacy > factory reset
 
ikikata hiyo ya juu bonyeza button ya power pamoja na volume down kwa sekunde kumi. alafu utaona robot wa android chagua hard reset kwa kutumia button za sauti.kubonyeza yes unatumia power button
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom