msaada, sijuwi nimekutwa na nini?

Going Concern

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,071
1,211
nakama wiki hivi niliku naisi nakama tonsezi, nikaenda pharmacy nikapata dawa, lakini this time nikiwa nameza chakula naisi maumivu chini ya koo maeneo ya kifuani, naogopa kweli, naombeni msaada wenu doctors, leo ni kama siku ya pili,
mungu awazidishie
 
Nenda hospitali, magonjwa mengine mpaka dokta akutazame.
 
nakama wiki hivi niliku naisi nakama tonsezi, nikaenda pharmacy nikapata dawa, lakini this time nikiwa nameza chakula naisi maumivu chini ya koo maeneo ya kifuani, naogopa kweli, naombeni msaada wenu doctors, leo ni kama siku ya pili,
mungu awazidishie

Sikusapoti pale ulipoenda pharmacy ni bora ungeenda kuonana na daktari ndo angejua nini kinakusumbua kuna uwezekano kabisa ukawa na (sore throat)ambayo inahitaji antibiotic nzuri na ipo haraka lakini watu wa phamasi awajui kutibu
 
Inategemea labda una tonsillitis ambazo zinatibika kwa antibiotics na watu wa pharmacy watakupa antibiotics za broad spectrum mara nyingine si effective. Nenda kwa daktari kwa ushauri zaidi na kama uko mbali na hospital jaribu Penicillin V ambazo zinapatikana pharmacy zitakusaidia mara moja (huwa natumia hizo na kupata nafuu haraka) ila pia hakikisha hutumii vinywaji vya baridi sana.
 
mungu amzidishie yeyote yule aliyepoteza muda wake kuni advice, asanteni sana.
 
nahisi umepata infection (mambukizi) kwenye kifua, nenda hospital utapewa antibiotic. utapona inahsaALLAH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom