Msaada short course ya kilimo

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
Kwanza napenda kushukuru kwa msaada mkubwa ambao nimeupata na nazidi kuupata kutoka kwa members wa jukwaa hili hususani Mr elinino ambae nilifuatilia post yake "nimeamua kulima kwa mara ya pili" na kwa kweli ilinipa changamoto. Kama kuna mtu anafahamu mahali ninaweza kupata short course ya kilimo au sources yoyote ( agricultural associations, blogs or any source). Japokuwa sio proffessional yangu lakini kilimo ndio kitu ambacho nikifanya nakua namsukuo zaidi. Kuna member aliwahi kuzungumzia kitu kinaitwa Trailor course inayotolewa SUA lakini kila nikijaribu kuulizia sipati taarifa za kutosha.

Lengo langu ni kufanya kilimo kisayansi maana nilijaribu mara ya kwanza sikufanikiwa nikaretreat nataka mwanzoni mwa mwakani nianze tena nikiwa na maarifa zaidi.

msaada waungwana
 
Dakawa, Morogoro kuna centre ya mafunzo ya kilimo kwa technology ya wachina. Kimefunguliwa mwaka jana, ila sijajua kama wameanza kutoa mafunzo.
 
ahsante nitajitahidi nikapaone ili nipate details za kutosha.
 
Mkuu hongera sana kwa hili,

Mkuu Mimi naamimi mtaani kuna elimunzuri sana yakilimo kuliko vyuoni huko, jiulize ni wangapi waenye degree au diploma zakilimo walio dhubutu kulima, utakuta hakuna waote wako mjini kisa mtaji, mkuumimi sioni haja ya kupoteza mda wako kwenda chuo kusoma theory za kilimo.

- Mtaani kuna elimu ya kutosha yakilima na hata walio fanikiwa kwenye kilimo huku bongo ukiwauliza hakuna hatammoja mwenye certficate ya kilimo,

- Kuna website moja ya kenya ina elimu nzuri sanaya kilimo ngoja niifuatilie nitakuwekea hapa itakusaidia sana

Wasomi kilimo tz eo nmb wameajiriwa kazi za fedha
Tambua wakulima waliofanikiwa tz elimu ya kilimo wameipata kwa kuthubutu shambami na kwa ushauri wa extensiom officers ambao wengi wao wamehitimu ngazi ya diploma ya kilimo ushauri wangu anza kidogokidogo then ongeza capacity kila msimu mpya

Good,
Anza kwa scale ndogo kama darasa kwako,lakini ningekushauri uwe na mazao specific.Hii itakupa nafasi ya kubobea zaidi ktk zao fulani kulingana na soko lake.Tembelea wakulima mashambani kwao ili upate abc za zao husika.
 
Back
Top Bottom