Msaada sehemu ya kudownload nyimbo

Habari wapendwa....
Naomba kwa anaejua website isiyo na longo longo ya kudownload nyimbo aina zote atupie hapa.....

NB...
Waptrick kuna nyimbo nazikosa....
Tubidy tangu ibadilike inanishinda..
Nataka audio tu..

Staki zile website uchwara kila mara click here had page zinafika mia huko sion kitu...

Pia sitaki zile nadownload zinanipeleka play store....

Asanteni in advance!!!...
Tumia vidmate kakaa
 
YAKHEE! Umenifadisha na mie ati, yaani hapa mie napakua tu vitu vitamu ati......senkyuuu
 
Ingia Google andka snaptube den ukxha instal utasearch unachotaka utaona mxhale mwekundu unaaxhlia kudwnload then utachagua mp3 mp4 au vdio qualty tofaut by van dope
 
Back
Top Bottom