Msaada: Scholarship

Mie nachukua nafasi hii kuchukua challenge hii na kutangaza scholarship ya $ 1500 mwaka wa kwanza kwa mwanafunzi wa kike kutoka vijijini (sio Dar-es-salaaam) anayequalify kusoma Computer Science katika Chuo Cha Elimu ya Juu Tanzania.

Niungeni mkono washikadau wa nchi.

Pundit, that is the way forward. What an outstanding generocity! Be blessed Pal!

SteveD.
 
Pundit...Hongera kuwa na courage ya kujitolea ni wachache ktk Jamii zetu...ukiangalia wewe hugombei UBUNGE ikawa mchango wako ni sehem ya KAMPENI..keep its up.
Ila nukta moja muhim ktk selection yako ya mtu unaetaka kumsomesha. Mie ningeshauri kama mwanamke asomee Udaktari...au Ualimu.
Mie nimesoma nimesoma hio comp science hapa Mliman na wanawake walikuwa wachache out of 40 walikuwa 5. Hapa kuna sababu ya msingi si tu upendeleo ila comp science inahitaji watu wajue MATHS na ukiuliza even wizara ya elim utaambiwa Maths bado tatizo na HASA kwa AKINA DADA. na msichana ambae atachaguliwa comp ujue GOVT sponsorship ameshaipata... unaetaka kumsomesha hata FIT condition za comp science
Ni vema ukawekeza ktk Udaktari na Ualimu ukizingatia role ya dada zetu na nature ya kazi hizo ktk Jamii ya Tanzania iliyo na wataalam wachache ktk Fani ya Udaktari.
 
Ushauri mzuri Chuma.Ubunge wito na huu ni wito vile vile, kila mtu anafanya kwa karama yake.Bora mchango kwa taifa.Udaktari muhimu I was just not sure na expenses na kama hizo meagre resources zitatosha but it is an option.Jamii ya Watanzania diaspora inaweza kuchangia scholarships, hasa hizi za vyuo vya nyumbani ambako nafikiri gharama si za juu sana kulinganisha na nje (I may be wrong lakini naamini $3,000 -5,000 zinaweza kutosha ku-cover mwaka depending on the specifics)

Kuna mshkaji ameenda Law School nilikuwa naangalia alivyohangaika na mikopo nikafikiria situation nyumbani na kulinganisha gharama tunazotumia kwenye vitu vingine very unnecessary unaweza kuvitoa kuchangia vitu muhimu kwa elimu ya mtu bongo.

Kutoa ni moyo, usambe utajiri.
 
..........................Jamii ya Watanzania diaspora inaweza kuchangia scholarships, hasa hizi za vyuo vya nyumbani ambako nafikiri gharama si za juu sana kulinganisha na nje........................

Absolutely...............Wala hujakosea

1. Tuichangie kwanza JF ili iweze na kuendelea kuwa stable
2. Tuanzishe Mfuko wa JF Wasimamizi wawe Agustine Moshi, Mkandara, Kitila Mkumbo, JJ Mnyika na Zitto (wenye majina halisi)......i think kutokana na mchango wao hapa JF to me they appear very responsible........Coordinator awe Admin na timu yake

Mfuko huo uje kusaidia vijana wa nyumbani kuanzia sekondari hadi vyuoni
 
Ogah acha kuchemka...Hii thread ya mambo ya ELIMU..usiingize kingine..
Kuchangia JF ni kitu muhim lkn unapoiingiza hapa na mapendekezo yako nionavyo ni kubore..Pia the way unavyoweka majina ya wahusika eti kwa kuwa wana majina Kamili ni Hoja weak..na inaonesha unavutwa na Uchadema. I dont think mkandara ndio ndio jina lake Halisi...Ungemuliza admin alitumia vigezo gani kuwapata moderators?
 
Chuma heshima yako Mkuu,

naomba tuheshimiane kwa hoja na sio kuni-attack

sikuwa na makusudi ya ku-divert mjadala bali ni kutoa nafasi ya kuangalia mambo kwa mapana na marefu........ya sasa na ya kesho....after all hayo ni maoni yangu tu........

1. nimesema ni muhimu kuiweka JF stable kwa kuichangia kwa kuwa ndio mahala ambapo hata Pundit na wengine wameweza kutolea misaada yao na maoni yao............wewe kama hilo hulioni....uliza ili uelimishwe

2. Ukiangali point yangu ya pili kusudio ni kwa wale wenye majina halisi (i specifaclly put it into brackets kuonyesha huo msisitizo), kama Mkandara si halisi........basi hayo yalikuwa ni maoni yangu tu na sio kwamba hata hao niliowataja ndio watakuwa.

Kuwa mwanachadema sio dhambi/kosa, na kukiri/ku-acknowledge michango ya wana JF wenzangu hakunifanyi niwe Chadema...........kama umefuatilia mijadala mingi hapa JF michango yangu haichagui na wala kulelekeza kuw amimi ni wa chama gani hapa kwani nichojali ni MASLAHI YA Watanzania tunaohujumiwa na Tulio Njia Panda...................i give credit panapotakiwa......................na vile vile huchambua pumba zipi na mchele upi............

naomba tuuanze mwaka mpya 2008 vyema Chuma......na sio kwa style hii
 
Nadhani tatizo ni namna ya kupata pesa kwa ajili ya kukidhi gharama za kuishi kama vile kulipia malazi, chakula na usafiri pamoja na viandika/viandikwa. Vinginevyo no tuition fee. Hata Ujerumani hakuna tuition fee. ila unatakiwa uwe na uwezo wa kumudu gharama za kuishi tu ambazo kwa wastani ni kati ya Euro 600-1000. Kusema kweli hii ni nafuu sana ukilinganisha na Uingereza ampapo tuition fee pekee ni kati ya Pound 9,000 hadi 14, 000 kwa mwaka na bado hujaongeza daily expenses ambazo ni kati ya Pound 600 - 1000 kwa mwezi.

Mkuu, hapo mkidoog niseme kwa ujerumani siku hzii hali imebadilika, kuna semister fee ya euro 500, japo sio kubwa sana ukilinganisha na UK lakini ipo.
 
Wakuu kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya.
Wakuu nashukuruni sana wote waliotoa mchango wao wa hizi info za scholarship. Wazee kama mnazo nyingine mwageni hapa.
 
Earth Sciences at Dalhousie University
CURRENT GRADUATE STUDENT OPPORTUNITIES Although other opportunities exist in other fields and supervisors, these graduate programmes are currently seeking students who will begin in 2008 or 2009.
Check our webpage for updates http://earthsciences.dal.ca/index2.html Field: Geochemistry and igneous petrology Support: NSERC and Industry Seeking: Ph.D. and M.Sc. students
Supervisor: Dr. Jarda Dostal, j.dostal@ns.sympatico.ca Field: Invertebrate paleontology and chemostratigraphy Support: NSERC Seeking: Ph.D. and M.Sc. students
Supervisor: Dr. Mike Melchin, mmelchin@stfx.ca Field: Quaternary and marine sedimentology Support: NSERC Seeking: M.Sc. students
Supervisor: Dr. David Piper, dpiper@nrcan.gc.ca Field: Experimental Mineralogy, Petrology, and High Temperature Geochemistry Support: NSERC Seeking: Ph.D. or M.Sc. students
Supervisor: Dr. Yana Fedortchouk , yana@dal.ca Field: Climate change, paleoclimatology, GCM, permafrost stability, borehole climatology, dynamic downscaling, future climate scenarios Support: Atlantic Innovation Fund and NSERC Seeking: Ph.D. and M.Sc.
Supervisor: Dr. Hugo Beltrami, hbeltram@stfx.ca
 

Attachments

  • graduate.pdf
    191.4 KB · Views: 95
Earth Sciences at Dalhousie University
CURRENT GRADUATE STUDENT OPPORTUNITIES Although other opportunities exist in other fields and supervisors, these graduate programmes are currently seeking students who will begin in 2008 or 2009.
Check our webpage for updates http://earthsciences.dal.ca/index2.html Field: Geochemistry and igneous petrology Support: NSERC and Industry Seeking: Ph.D. and M.Sc. students
Supervisor: Dr. Jarda Dostal, j.dostal@ns.sympatico.ca Field: Invertebrate paleontology and chemostratigraphy Support: NSERC Seeking: Ph.D. and M.Sc. students
Supervisor: Dr. Mike Melchin, mmelchin@stfx.ca Field: Quaternary and marine sedimentology Support: NSERC Seeking: M.Sc. students
Supervisor: Dr. David Piper, dpiper@nrcan.gc.ca Field: Experimental Mineralogy, Petrology, and High Temperature Geochemistry Support: NSERC Seeking: Ph.D. or M.Sc. students
Supervisor: Dr. Yana Fedortchouk , yana@dal.ca Field: Climate change, paleoclimatology, GCM, permafrost stability, borehole climatology, dynamic downscaling, future climate scenarios Support: Atlantic Innovation Fund and NSERC Seeking: Ph.D. and M.Sc.
Supervisor: Dr. Hugo Beltrami, hbeltram@stfx.ca
Ahsante sana Mtoto wa Mkulima,ila hizi kozi mkuu kwa bongo sio wengi wanasoma.Hizi za Biashara ndio wabongo wanataka hasa zikipatikana itakuwa saaaafi
 
Mie nachukua nafasi hii kuchukua challenge hii na kutangaza scholarship ya $ 1500 mwaka wa kwanza kwa mwanafunzi wa kike kutoka vijijini (sio Dar-es-salaaam) anayequalify kusoma Computer Science katika Chuo Cha Elimu ya Juu Tanzania.

Niungeni mkono washikadau wa nchi.

Pundit, je ulipata mwanafunzi wa kike kutoka vijijini kupokea scholarship hii.... any update?!


SteveD.
 
Sijapata mkuu,

Wanaoqualify hawana access, wenye access hawaqualify. Juzi bwamdogo mmoja kutoka kijijini kwetu kanipigia division one nimemfanyia kweli.Kupiga division one form four bush si mchezo.

Tumechukua Nelkon sijui na Lambert na ma-tome gani sijui ya PCM kijana anajifua hata kabla shule hazijafunguliwa.
 
Nafurahi kuona wana-JF tunafuatilia elimu zetu kule vijijini, hongera Mkuu Pundit kwa kumpa tafu kijana aliyefumua Div One.

Hivi karibuni nilikuwa nazungumza na jamaa yangu kijijini....anasoma katika sekondari ambayo inawalimu wanne tu (headmaster and secondmaster inclusive)!!!!......mapigo ya moyo wangu yaliongezeka..........nilishindwa kuuliza tena.......

Wazo likanijia..........kw astaili hii ya Pundit............as JF or as an individual tunaweza kufanya/ku-challenge ili kusaidia kusukuma kw anamna fulani elimu zetu kule vijijini. Nikawapigia simu uongozi wa shule nikawapo wazo kuwa, watu (wazazi wa hapo kijijini)wanaweza kujitolea na ku-raise funds zitakazo saidia kutoa allowances kwa walimu (ambao hawakuwa absorbed na Government) na wao wakatufundishia vijana wetu.............na mimi nitakuwa natoa mchango wangu kwa mwalimu mmoja kila mwezi.......

Hivi sasa naandika paper ninayokusudia kuiweka hapa JF ili ipigwe msasa na baadaye itumike kama modal
 
Schorships nyingi ainahitahi uwe umeperform vizuri na uwe na experience ya at least 3 years kwa case ya masters.
 
Back
Top Bottom