MSAADA:satalite frequencies za MLIMANI tv na TUMAINI tv

Sugar wa Ukweli

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
373
37
Habari waungwana,ninaomba msaada wa satalite frequencies na symbol rate za Mlimani tv na Tumaini tv,kama kuna mtu anazijua anisaidie!,natanguliza shukrani!
 
Habari waungwana,ninaomba msaada wa satalite frequencies na symbol rate za Mlimani tv na Tumaini tv,kama kuna mtu anazijua anisaidie!,natanguliza shukrani!

Mlimani TV nadhani bado hawajaanza kurusha matangazo yao kwa nyia ya satellite, Tumain TV bado hawajaanza wako mbioni kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom