Msaada. Samsung pc studio.

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
931
503
Habari zenu wakubwa, jamani naomben msaada wenu wanajamvi... Nimeinstall samsung pc studio katika pc yangu ila kila nkitaka kuconnect cm yangu kama modem haitaki ila ishu za multmedia inakubali vizuri... Naweza kua nimekosea nini?
 
jaribu kuweka setting za internet kwenye simu yako ziendane na mtandao unaotumia.Kisha unga tena inaweza kukubali.Kama ikishindikana ngoja wataalamu wakuu wafike....
 
inabidi uinstall a separate usb samsung drivers for .... tafuta kwenye google utafanikiwa. mi natumia drivers za Samsung Galaxy na simu yangu inatambuliwa vizuri na pc yangu!
 
kama una cd ya hiyo simu weka kwenye computer afu chagua option ya ku unganisha simu kama moderm ita instal yenyewe drivers.
pia kama unatumia hizi samsung mpya yenye os ya windows nenda kwenye programs tafuta internet sharing chagua kati ya cable au blue tooth
 
mkuu sio kila simu unaweza ukatumia kama modem ingawa pc suite ni hiyo moja kwa samsung zote elewa hivyo.
 
Hebu bofya "start"-"connect to (a network)"then zitadiplay modem zote ambazo alishawahi kuzitumia siku za nyuma. Sasa hapo chagua modem ya mtandao ambao simu yako inaitumia hiyo laini. Baada ya kuselect bofya "connect" kitatokea kibox ambacho utabofya "dial". Baada ya hapo utakuwa connected. Enjoy.
 
Habari zenu wakubwa, jamani naomben msaada wenu wanajamvi... Nimeinstall samsung pc studio katika pc yangu ila kila nkitaka kuconnect cm yangu kama modem haitaki ila ishu za multmedia inakubali vizuri... Naweza kua nimekosea nini?

Hiyo tabu ndogo sana.fanya kwenda kwenye setting za samsung yako utafute PC connection halafu ubadili (Kutakuwa na option mbili,mass storage na nyingine.kwa simu za karibuni option ya pili itakuwa samsung kies,select hiyo.)
That's all.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom