Msaada..sahihi yangu imegushiwa ofisini

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Mi ni Mtumishi wa umma...sasa Ps wetu amenidokeza kuwa ameshangaa ameona Muhtasari wa malipo na majina ya wajumbe mimi jina langu pia,ila sasa ameshangaa ameona siyo ile ninayo sain siku zote..alivyotoka boss wangu,akaniletea fail,nimeona sahihi siyo yangu,ila jina ndo langu...msaada ni hatua gani nimchulikie..na je hukumu ya kosa kama ili ni nini?
'Vox populi,Vox dei"
 
Napata wasiwasi labda hakuna wanasheria hili jukwaa
 
Mi ni Mtumishi wa umma...sasa Ps wetu amenidokeza kuwa ameshangaa ameona Muhtasari wa malipo na majina ya wajumbe mimi jina langu pia,ila sasa ameshangaa ameona siyo ile ninayo sain siku zote..alivyotoka boss wangu,akaniletea fail,nimeona sahihi siyo yangu,ila jina ndo langu...msaada ni hatua gani nimchulikie..na je hukumu ya kosa kama ili ni nini?
'Vox populi,Vox dei"

1. Hili ni kosa la kugushi (forgery).

2. Hapa kuna wahusika watatu (three parties to the case in question)
(i) Muhusika wa kwanza ni huyo mtuhumiwa wa kugushi (boss wako) (ii) Wa pili ni atakayetoa hayo malipo baada ya kudanganywa na mtuhumiwa, naamini hayo malipo yanafanywa na ofisi yenu na kwakuwa wewe ni mfanyakazi wa umma kwahiyo mlipaji hapo ni serikali. (iii) muhusika wa tatu ni wewe ambaye jina lako limetumika kufanya hiyo forgery.

Kabla sijaendelea:

1. Umetoa copy ya hiyo document inayoonyesha sahihi yako imegushiwa?
2. Nani ana mamlaka ya kuidhinisha hayo malipo, huyo bosi mwenyewe au kuna mamlaka ya juu yake?
3. hayo malipo ni kiasi gani?
4. Je kwenye huo mkutano wewe uliudhuria halafu jamaa kachukua hela kwa niaba yako au bosi katengeneza mkutano feki halafu kajumlisha jina lako?
5. Watu wengine kwenye hiyo list wamesaini wenyewe au nao wamechakachuliwa kama wewe?

Ukinipa majibu ya maswali hayo ntakutengenezea kesi.
 
Nashukuru sana mkuu!kwa maelezo
Majibu:
1.nilipiga picha na simu,majina mpaka sahihi zipo(docoment hipo)
2.waidhinisha malipo wapo wawili na watatu ni boss,wa nne Ded
3.malipo laki tano
4.mkutano sijaudhuria
5.wengine walisain,ni mim
 
Deodat mkuu bado unatengeneza kesi tu? Nakungoja though sio mtoa mada.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom