Msaada Research Proposal title undergraduate...

Nimepeleka title kama 10 zote zinapanguliwa, ndo labda nauliza msaada walionitangua research imbayo easy to be done ambayo iwe relevant na jamii yoyote ya tanzania, mada yoyote inaruhusiwa..
unapeleka title au research concept!!huyo mtu anaye kurudisha na title yako naye kilaza tu!
 
assess matatizo unayoyapata wakati wa kutafuta simple research proposal title.
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya nipate muongozo ...BA Education
NB:I hate Copy and Paste
 
Ingia library na tumia internet utapata idea ya proposal nzuri kadri utavyojimba matrials kwa kutumia akilia yako , hizi za kuomba JF siyo. Soma, fikiria na andika acha uvivu.
 
Nimepeleka title kama 10 zote zinapanguliwa, ndo labda nauliza msaada walionitangua research imbayo easy to be done ambayo iwe relevant na jamii yoyote ya tanzania, mada yoyote inaruhusiwa..
Ok, I can understand your predicament. Hili ndiyo tatizo la supervisors wetu wa bongo, haiwezekani topic zote zikawa hazifai. Angeweza kuiboresha mojawapo na hivyo kuendelea na hatua ya pili ambayo ni kuandika proposal. Ili hata utakazopewa hapa zisijezikakataliwa, ni vizuri utupe sababu kwanini alizikataa au hata wewe uulize next time akikataa.

Ngoja nijaribu kukupa mfano-don't take it as it is. Nakupa mfano ili ikusaidie kufikiria topic ktk eneo unalopenda. Ningekuwa mim ningefikiria topic kama "Assessment of the Impact of Mobile Financial Services to Small Scale Businesses: Case of M-Pesa and Uyole Market."
Huu ni mfano tu, kitu cha msingi ktk title hii ni kwanza kuna ishu yenye umuhimu kwa jamii maana hatukuwa na huduma kama hii miaka 5 iliyopita. Pili, nimejaribu kupunguza scope ya research kwa kutaja M-Pesa na eneo (soko) nitakakofanyia utafiti wangu. Ndo maana nikakuuliza una muda gani wa kufanya research maana scope ikiwa wide unaweza usimalize kwa wakati na usiwe na fedha za kufanyia kazi.
Pia unaweza ukawa interested na topic inayotafiti kama utoaji wa chakula shuleni umeongeza mahudhurio shuleni. Inaweza ikawa "Investigation of the Impact of Food on Primary School Attendance: Case of Mtakuja Primary School". Utaona pia hapa nimejaribu kupunguza ukubwa wa kazi kwa ku-focus ktk shule moja tu.

Pata mawazo ya wadau wengine maana kwa level ya degree ya kwanza na ya pili, research ni learning process na hakuna namna moja ya kufanya. Mawazo ya supervisor mmoja yanaweza yakatofautiana na mwingine.
 
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya nipate muongozo ...BA Education
NB:I hate Copy and Paste
You hate copy and paste wakati unaomba kucopy....kuomba research proposal title ndo maana yake... Why wont you be innovative...na kufikiria kitu cha kufanya mwenyewe na ubaki kuomba madesa kwa wenzio.... BA...Education...nikijua shule utakayopelekwa sitamleta mwanangu...
 
Mkuu fikiria na hii, vinginevyo zingatia ushauri wa hao wanaokataa hizo proposals zako.
Education Policy and Politicization of Education: Assessing the Universal Primary Eduaction(UPE) and Adult Education in Tanzania.
 
Ok, I can understand your predicament. Hili ndiyo tatizo la supervisors wetu wa bongo, haiwezekani topic zote zikawa hazifai. Angeweza kuiboresha mojawapo na hivyo kuendelea na hatua ya pili ambayo ni kuandika proposal. Ili hata utakazopewa hapa zisijezikakataliwa, ni vizuri utupe sababu kwanini alizikataa au hata wewe uulize next time akikataa.

Ngoja nijaribu kukupa mfano-don't take it as it is. Nakupa mfano ili ikusaidie kufikiria topic ktk eneo unalopenda. Ningekuwa mim ningefikiria topic kama "Assessment of the Impact of Mobile Financial Services to Small Scale Businesses: Case of M-Pesa and Uyole Market."
Huu ni mfano tu, kitu cha msingi ktk title hii ni kwanza kuna ishu yenye umuhimu kwa jamii maana hatukuwa na huduma kama hii miaka 5 iliyopita. Pili, nimejaribu kupunguza scope ya research kwa kutaja M-Pesa na eneo (soko) nitakakofanyia utafiti wangu. Ndo maana nikakuuliza una muda gani wa kufanya research maana scope ikiwa wide unaweza usimalize kwa wakati na usiwe na fedha za kufanyia kazi.
Pia unaweza ukawa interested na topic inayotafiti kama utoaji wa chakula shuleni umeongeza mahudhurio shuleni. Inaweza ikawa "Investigation of the Impact of Food on Primary School Attendance: Case of Mtakuja Primary School". Utaona pia hapa nimejaribu kupunguza ukubwa wa kazi kwa ku-focus ktk shule moja tu.

Pata mawazo ya wadau wengine maana kwa level ya degree ya kwanza na ya pili, research ni learning process na hakuna namna moja ya kufanya. Mawazo ya supervisor mmoja yanaweza yakatofautiana na mwingine.

Topic nilompa last tym akasema itakuwa ngumu kufanyia utafiti ; hivyo nilimpelekea title ambayo tyr kila kitu jst kumpima km ataniaccept ameniambia itasumbua. For now amesafiri amesema akirudi nimpelekee different titles kisha atasuggest ipi niendelee nayo..Thanks a lot Pal
 
Mkuu fikiria na hii, vinginevyo zingatia ushauri wa hao wanaokataa hizo proposals zako.Education Policy and Politicization of Education: Assessing the Universal Primary Eduaction(UPE) and Adult Education in Tanzania.
Hii ni topic nzuri sana, hasa kwakuwa mhusika ni mwalim. Lakini tatizo ni scope-hana resources (muda na pesa) za kufanya hii kitu maana itabidi atembelee mikoa kadhaa ya Tanzania maana topic inaonyesha location ni Tanzania. Kwa mtazamo wangu, hii inamfaa mtu wa masters na hata PhD. Ni mtazamo tu.
 
Mwl. do you real understand what you mean/say? you ask for a research title or research paper and then you say you hate copy and paste, be serious and creative, cammon!

Iam your fellow teacher i real hate people like you anyway you better keep trying
 
Wewe kilaza ebu ongea na supervise uone mnaendaje, leo unanunua proposal, kazi utanunua, kutakuwa na productivity hapo? We kilaza utaweza kushindana na Wakenya kwenye labour ndani ya Jumuiya ya EA ebu acheni kutuhaibisha, kunjua msuli dogo usilete useule wako hapa. (Seule ni mvivumvivu kwa vocabulary ya JKT)
Unam-condem mwenzako kuwa ni kilaza na kwa mbwembwe ukaeleza maana ya seule wakati hata kuandika "aibisha":lol: huwezi, supervisor ndio kabisaa! Sasa tuelewe kilaza ni yupi? Toa ushauri unaojenga siyo kurukiarukia vitu.
 
You hate copy and paste wakati unaomba kucopy....kuomba research proposal title ndo maana yake... Why wont you be innovative...na kufikiria kitu cha kufanya mwenyewe na ubaki kuomba madesa kwa wenzio.... BA...Education...nikijua shule utakayopelekwa sitamleta mwanangu...

kweli bongo jf noma poster wa kwanza akiwa negative lazima wanaofuata nao wawe negative kishasema kampelekea msimazi wake kamwambia abadili swala hapa nikumwambia aseme alimpa title ipi ili watu waweze kumsaidia sio kung'ang'ania innovation ndio maana kaja huku kutafuta idea tofauti sawa mkuu..

thanks to Sooth for the nice reply
 
Last edited by a moderator:
Unam-condem mwenzako kuwa ni kilaza na kwa mbwembwe ukaeleza maana ya seule wakati hata kuandika "aibisha":lol: huwezi, supervisor ndio kabisaa! Sasa tuelewe kilaza ni yupi? Toa ushauri unaojenga siyo kurukiarukia vitu.

ndetichia like this
 
Tunaelekea pabaya sasa kama wasomi wanakuja kuomba title za research jamvini!
Lol hicho Chuo hakina library? Inathibiti kuwa mleta mada hana urafiki na library kabisaaaa!
Hiyo inatia mashaka sana msomi ndio atakuwa huyu kweli? Tena mwalimu mmmmh! Ndio
maana ubora wa elimu yetu unashuka!
 
Mkuu hapa kuna mambo mengi.
Kwanza ni suala la uzoefu na masuala ya utafiti. Vyuo vikuu vyetu vingi wahadhiri wake wana masters tu. Wengi (si wote) wenye masters wamefanya utafiti na kuandika tasnifu(dissertation/thesis), lakin kimsingi, hata mwenye masters ni mwanafunzi wa utafiti, ni ngazi ya kujifunza utafiti. Kuna baadhi ya vyuo-hasa ulaya hawafanyi Research kwa ngazi ya masters bali Project na hivyo wanakosa msingi wa kufanya utafiti. Mtu mwenye PhD au profesa ndo anaaminika kwamba ameiva kwenye utafiti na mara nyingi unapofanya PhD unapata guidance ya kiufundi zaid kuliko ya utafiti. Kwa kifupi, wahadhiri wengi hawana uzoefu wa utafiti na hivyo hawezi kumsimamia mwanafunzi ipasavyo.

Pili, kuna suala la wanafunzi wenyewe kuwa wavivu na kutokuwa na msukumo na udadisi. Siku hizi mtu anafanya masters kwakuwa amemaliza bachelor lakin hajapata kazi, so anaunganisha. Uhalisia ni kwamba mtu inabidi afanye kazi kwanza ili kupata uzoefu na kugundua mambo mbalimbali akiwa kazin ambayo hakufundishwa chuo. Kwa namna hii, masters na mambo ya utafiti yanakuwa yanaenda vizuri kiasi. So kikubwa ni msukumo wa mwanafunzi mwenyewe, tena afadhali huyu anaomba msaada huu, wengine huwa wanatafuta pesa na watu wa kuwaandikia-ambayo ni mbaya zaidi.

Mwisho, nikubaliane nawe kwa kiasi fulani kwamba wanafunzi wanatakiwa wawe independent, waache kutafuta njia za mkato kama kuandikiwa kazi na kukopi kazi za wengine. Pia supervisors tuwasaidie wanafunzi tunaowasimamia kwa kusoma kazi zao kwa wakati na kutambua kwamba hao ni watu wanaojifunza hatua kwa hatua kufanya utafiti.
 
Naomba msaada wa simple Research Proposal title hata kama mtu anayo na research kamili yake sio mbaya nipate muongozo ...BA Education
NB:I hate Copy and Paste

Jiulize, WHY DO I WANT TO THIS RESEARCH then utapata title kibao mpka ushangae!
 
Tunaelekea pabaya sasa kama wasomi wanakuja kuomba title za research jamvini!
Lol hicho Chuo hakina library? Inathibiti kuwa mleta mada hana urafiki na library kabisaaaa!
Hiyo inatia mashaka sana msomi ndio atakuwa huyu kweli? Tena mwalimu mmmmh! Ndio
maana ubora wa elimu yetu unashuka!

Km sina muongozo wa kujua wapi pa kuanzia kwnn nisiulize wanaojua zaidi yangu! Naamin kuuliza si ujinga
 
Mkuu hapa kuna mambo mengi.
Kwanza ni suala la uzoefu na masuala ya utafiti. Vyuo vikuu vyetu vingi wahadhiri wake wana masters tu. Wengi (si wote) wenye masters wamefanya utafiti na kuandika tasnifu(dissertation/thesis), lakin kimsingi, hata mwenye masters ni mwanafunzi wa utafiti, ni ngazi ya kujifunza utafiti. Kuna baadhi ya vyuo-hasa ulaya hawafanyi Research kwa ngazi ya masters bali Project na hivyo wanakosa msingi wa kufanya utafiti. Mtu mwenye PhD au profesa ndo anaaminika kwamba ameiva kwenye utafiti na mara nyingi unapofanya PhD unapata guidance ya kiufundi zaid kuliko ya utafiti. Kwa kifupi, wahadhiri wengi hawana uzoefu wa utafiti na hivyo hawezi kumsimamia mwanafunzi ipasavyo.

Pili, kuna suala la wanafunzi wenyewe kuwa wavivu na kutokuwa na msukumo na udadisi. Siku hizi mtu anafanya masters kwakuwa amemaliza bachelor lakin hajapata kazi, so anaunganisha. Uhalisia ni kwamba mtu inabidi afanye kazi kwanza ili kupata uzoefu na kugundua mambo mbalimbali akiwa kazin ambayo hakufundishwa chuo. Kwa namna hii, masters na mambo ya utafiti yanakuwa yanaenda vizuri kiasi. So kikubwa ni msukumo wa mwanafunzi mwenyewe, tena afadhali huyu anaomba msaada huu, wengine huwa wanatafuta pesa na watu wa kuwaandikia-ambayo ni mbaya zaidi.

Mwisho, nikubaliane nawe kwa kiasi fulani kwamba wanafunzi wanatakiwa wawe independent, waache kutafuta njia za mkato kama kuandikiwa kazi na kukopi kazi za wengine. Pia supervisors tuwasaidie wanafunzi tunaowasimamia kwa kusoma kazi zao kwa wakati na kutambua kwamba hao ni watu wanaojifunza hatua kwa hatua kufanya utafiti.

100% accepted
 
Back
Top Bottom