ni aina gani ya receiver na ulikuwa unapata channels zipi???jamani wakuu risiva yangu imefutwa chaneli zote.je naweza nikarejesha mpangilio wa kiwandani(restor factory setting) au ujanja wake upoje?
Mkuu unatumia king'amuzi cha nani, ting, mutlchoice au nini?.
Inawezekana ikawa dish lime twist aka limebadili mwelekeo
kaka paulss tumekutana tena huku. Usilo lijua ni usiku wa giza nilita fundi aniongezee channel ila katika harakati za fundi akafika mahala ambapo alitakiwa ku delete baadhi ya chanel alhpo fika hapo akafuta zote sasa hivi inaandika memory full.
mkuu unaitaji kuliupgrade kama huyo fundi alikuja na cable yake yakulink na pc yako yenye tx, rx na gnd kazi ingekuwa raic kwako ungelifanyia mwenyewe nimeyafanyia sana mkuu sema mambo mengi ckuizi kama ujuavyo ilakama unamda kazi raic kama kuflash cm muhimu kujua procja zake
kaka fundi mwenyewe naona alichemka maana alitoka kama anaenda kunua sigara ndo ikawa jiiiiiii!!!!!!!! huyoooooooooo hakurudi tena.
Kama una ujanja wa kuchezea rimoti ya resiva yako na kama unajua frikwensi za chanel zilzofutika nazani sio ngumu kihivyo.
Nadhani uende kwenye lyngsat.com udownload frequency uzitakazo halafu kwenye receiver yako add tp na frequency ulizopata kwenye web. Huyo fundi kimeo!