msaada:pori baada ya Mawasiliano Tower ni mali ya nan?

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
ukitokea ubungo kuelekea Mwenge pale baada ya TCRA,kuna por ambalo kwa muda mrefu halijaendelezwa.najiuliza hlo por ni mal ya nani? Au ni open space? Aksanten kwa msaada
 
Ni mali ya TTCL. Katikati ya hilo poli kuna ghorofa zilishachakaa muda mrefu. Niliwahi kwenda pale wakati flani kwa ajili ya kutafuta nyumba za kupanga kwa ajili ya wana chuo wenzangu. Lengo langu nilitaka chuo ndo kipange kisha kiwapangishe wana chuo. Bahati mbaya niliambiwa zimenunuliwa na Agha Khan Foundation na walikuwa na mpango wa kuzikarabati ziwe hostel za chuo chake. Sijui mpango huo uliishia wapi maana ni muda mrefu sasa umepita hapajaendelezwa. Nasikia hali ya accommodation kwa wana vyuo kwa sasa ni mbaya zaidi kuliko nilivyoiacha. Hiyo ndo Tanzania yetu bwana.
 
ni pori la TTCL (kampuni ya Posta na Simu enzi hizo) kipande kilimegwa akapewa Agha Khan kujenga chuo kikuu na kipande kingine ndio hilo pori na kipande kingine ndio limejengwa ghorofa la TCRA.
infact pori hili kwa nyuma ndipo saga la Zombe lilipoanzia kama unakumbuka kuhusu UKUTA WA POSTA!. so pori hili lina 'uhusiano' na baba lao MABWEPANDE!!
 
Back
Top Bottom