msaada plzzz. nimetishia kuua

loid

Member
Dec 20, 2011
26
6
wiki tatu zilizopita niligundua kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya mschana mmoja na mchumba wangu ambae tulikuwa kwenye maandalizi ya harusi yetu mwezi wa 8. niiliumia sanaaaaaaaa. nilimtukana huyo mschana pamoja na wazazi wake na hata kufikia hatua ya kumwambia '' NITAMUUA'' wazazi wa huyo mschana walichukulia kwa uzito hilo swala na kulipeleka police. sasa hv nimeachana na mchumba wangu, hajui nilipo ila wananipigia sm kuniambia nijisalimishe police kwa kutishia kuua. nisaidieni mwenzeni sina uwezo wa kuua, niliongozwa na hasira kutamka yale maneno. naogopa coz nilituma sms na bado wamezihifadhi. ETI HATIMA YANGU NI NINI KATIKA SWALA HILI? MSAADA TAFADHARI
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaah, Jitayarishe kunyea ndooo , walahi tena, utakoma, cha kufanya watafute private, kwa kutumia influential people ili wasaidie kuongea na hao wazee mambo yaishie nyumbani
 
Sasa hivi mtukane na kumtishia kumuua mchumba wako. Ili wakiungana waoane kwa kufarijiana afu wewe wakuache uje usake mchuchu huku jf, wamejaa kibao!
 
Kama police wanakutafuta huna budi kujisalimisha kituoni. Kosa la kutishia kuua lina dhamana ukikamatwa utapata dhamana. Siku nyingine usitume sms za kutishia maisha ndio ushahidi wenyewe huo.
 
wiki tatu zilizopita niligundua kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya mschana mmoja na mchumba wangu ambae tulikuwa kwenye maandalizi ya harusi yetu mwezi wa 8. niiliumia sanaaaaaaaa. nilimtukana huyo mschana pamoja na wazazi wake na hata kufikia hatua ya kumwambia '' NITAMUUA'' wazazi wa huyo mschana walichukulia kwa uzito hilo swala na kulipeleka police. sasa hv nimeachana na mchumba wangu, hajui nilipo ila wananipigia sm kuniambia nijisalimishe police kwa kutishia kuua. nisaidieni mwenzeni sina uwezo wa kuua, niliongozwa na hasira kutamka yale maneno. naogopa coz nilituma sms na bado wamezihifadhi. ETI HATIMA YANGU NI NINI KATIKA SWALA HILI? MSAADA TAFADHARI

Yaani unatishia kuua kwa ajili ya mwanaume?? Ulimi umekiponza kichwa, ukume.
Ndo maana mimi sijui kupenda na sitapenda kamwe.
 
badala ya kunishauri mwaniponda. hivi mshawahi penda nyie???????????????
 
hiihihiiii unadhani wewe wa kwanza kupenda? Na hautokuwa wa mwisho.....

Anyway kama umeamua kujifichajifiche mwaka mzima hadi wasahau, la tafuta watu wazima wakaongee nao
 
Back
Top Bottom