msaada plzz:kwa mwenye unlocking keys za e.tv!!naziomba plzzz!!

Sasa umesahau sasa umetusaidia nini??

nilikuwa ninamfahamisha kuwa e.tv ipo kwenye satellite nyingi. ni zaidi ya mbili. na sio zote zinapatikana hapa bongoland. nimemwambia aseme yeye yupo satellite gani ili tumsaidie kimawazo kuhusu hiyo e.tv yake anayoitaka.
 
kitaalamu na kuondoka utata ulibidi useme hiyo e.tz unaipata kwenye sattelite gani? angle gani? maana haipatikani kwenye satellite moja. ni station moja lakini inarushwa kwenye satellite tofauti. kama unakusudia ile ya intelsat 7/10 68.5E ile ina encryption ya nagravision 3 na wala sio viaccess1. ambayo crack yake mpaka sasa sijasikia kama tayari. ila kuna satelite ya mp4 ambayo degree zake nimezisahau inapatikana bure bila ya encryption.
weka wazi
ni ile ya intelsat10....ila kama unaipata kwenye satelite nyingine waweza kutusaidia
 
kwa Dar nazipata sehemu gani mkuu?? na zina guarantee??

kwa Dar sijui kaka, bt kuna jamaa alisema anauza humu humu 480,000 kama sikosei ebay naskia ni $420.. Cha kfanya tafuta dukani kbsa coz hzo bei imekuwa sielewe elewi huku kuna jamaa huwa anaziuza 350,000 mi nipo Mbeya bt jaribu kusearch...kwa huko Dar, kuhusu guarantee sijui kaka bt Dreambox ina operating system ya linux ndani ni kama compyuta fulani hvi... Kuna forum kibao net wanadiscuss hvo vi2 jaribu kusoma uskie wanasemaje.
 
nilikuwa ninamfahamisha kuwa e.tv ipo kwenye satellite nyingi. ni zaidi ya mbili. na sio zote zinapatikana hapa bongoland. nimemwambia aseme yeye yupo satellite gani ili tumsaidie kimawazo kuhusu hiyo e.tv yake anayoitaka.

Mkuu satellite zipo 6
1.(lntelsat7 68.6e Mpeg2 Irdeto)
2.(lntelsat10 68.5e Mpeg2 Nagravision3)
3.(Euntelsat36B 35.9e Mpeg2 lrdeto2)
4.(lntelsat17 66.0e Mpeg4 lrdeto)
5.(Euntelsat19A 10.0e Mpeg4 conax)
6.(Astra4A 4.8e Mpeg4 Videoguard. decders yao etv inaitwa Top tv)

etv. FTA (lntelsat new dawn 32.9e Mpeg4 fk 11015H30000 kwasasa imefungwa ipo Testing signal ukibahatika wakiiachia unapata)

WWE. Fta (Euntelsat16A 16.0e Mpeg4 fta)
AB 1 nA AB 3 wwe utachoka mwenyewe etv ni chamtoto
Setanta africa
Cine polar
Toute lhistoire
Kuna ch 30
 
richy17 Kwani we unafanyaje? Ukisha press menu we bonyeza tu hz namba fasta, hauzita display wakati una press..Kuna program itaongezeka upande wa kulia mwisho imeandikwa CODE EDIT, af exit chan itarudi ynyewe

nimekuelewa kaka. Xaxa hye ni kwa ku2mia transponder ip . Maana mm hapa kuna transponder kbao zna eatv. Nyngne za dstv nyngne za my tv
 
Last edited by a moderator:
kitaalamu na kuondoka utata ulibidi useme hiyo e.tz unaipata kwenye sattelite gani? angle gani? maana haipatikani kwenye satellite moja. ni station moja lakini inarushwa kwenye satellite tofauti. kama unakusudia ile ya intelsat 7/10 68.5E ile ina encryption ya nagravision 3 na wala sio viaccess1. ambayo crack yake mpaka sasa sijasikia kama tayari. ila kuna satelite ya mp4 ambayo degree zake nimezisahau inapatikana bure bila ya encryption.
weka wazi

tugee transponder yake kaka.
 
Me nipo mbeya kea sasa ntaipataje hiyo dreambox, nipe maelekezo mkuu.

kuna jamaa anaziuza kaka! Niinbox nkupe contact, ukaicheck kwanza na hzo chanell zenyewe! Ikiwezekana akupe maelezo inawork vp.. Ukiridhika ndo ununue.
 
Mkuu satellite zipo 6
1.(lntelsat7 68.6e Mpeg2 Irdeto)
2.(lntelsat10 68.5e Mpeg2 Nagravision3)
3.(Euntelsat36B 35.9e Mpeg2 lrdeto2)
4.(lntelsat17 66.0e Mpeg4 lrdeto)
5.(Euntelsat19A 10.0e Mpeg4 conax)
6.(Astra4A 4.8e Mpeg4 Videoguard. decders yao etv inaitwa Top tv)

etv. FTA (lntelsat new dawn 32.9e Mpeg4 fk 11015H30000 kwasasa imefungwa ipo Testing signal ukibahatika wakiiachia unapata)

WWE. Fta (Euntelsat16A 16.0e Mpeg4 fta)
AB 1 nA AB 3 wwe utachoka mwenyewe etv ni chamtoto
Setanta africa
Cine polar
Toute lhistoire
Kuna ch 30

hyo n moja na transponder za dstv au ?
 
af jaman ! Mjue kuwa transponder huwa hazfanan depend on type ya receiver. Xo muwe mna2andikia mpaka transponder
 
Back
Top Bottom