msaada plzz:kwa mwenye unlocking keys za e.tv!!naziomba plzzz!!

richy17

Member
Apr 1, 2012
57
4
e.tv imekuwa scrambled channel kwa muda sasa..nimesikia kuna watu wana unlocking keys zake kupitia viaccess1..plz mwenye unlocking keys zake au za channel yoyote atupie hapa!!!
 
hamna jinsi now, sasa hivi ni tofauti na zamani ambapo ulikuwa unaweza weka code tu ku unlock it
 
nunueni dreambox, openbox decoders hii ki2 ni ya linux unaupdate 2 mambo ikibadilika
 
richy17 Unatumia receiver aina gani? Mi ninatumia Gulf Star, ikipotea ninavyofanya ni kubonyeza "MENU" af andika 5725 haraka utaona kuna program nyingine inaongezeka na chan e yenyewe inarudi.. Ukifanikiwa utanipa feedback
 
Last edited by a moderator:

natumia hyo gulf star lakini inakataa bado...nifanyeje???
 
Last edited by a moderator:
inauzwa shs ngapi mkuu???

350,000/= Tsh, inakamata za dstv zote kila baada ya siku 25 wanatoa update mpya ya software yake... Kazi yko inkuwa kuupdate 2 ili incase ziko scrambed yenyewe ina unscrambe.
 
natumia hyo gulf star lakini inakataa bado...nifanyeje???

richy17 Kwani we unafanyaje? Ukisha press menu we bonyeza tu hz namba fasta, hauzita display wakati una press..Kuna program itaongezeka upande wa kulia mwisho imeandikwa CODE EDIT, af exit chan itarudi ynyewe
 
Last edited by a moderator:
Nasie ambao hatutumii madish inakuwaje manake wengine tunatumia terestial microwaves by means of having digital tv set(Flat screen 42"). ambayo inaweza kukamata digital channel mojakwamoja bila kuwa na haja ya decoda wala dish? Nauliza coz ipo mbali ningekuwa karibu ninge try moja kwa moja.
 
richy17 Kwani we unafanyaje? Ukisha press menu we bonyeza tu hz namba fasta, hauzita display wakati una press..Kuna program itaongezeka upande wa kulia mwisho imeandikwa CODE EDIT, af exit chan itarudi ynyewe

i dont know kwanini haitaki kurudi
 
Last edited by a moderator:
350,000/= Tsh, inakamata za dstv zote kila baada ya siku 25 wanatoa update mpya ya software yake... Kazi yko inkuwa kuupdate 2 ili incase ziko scrambed yenyewe ina unscrambe.

kwa Dar nazipata sehemu gani mkuu?? na zina guarantee??
 
jamani habarini,
mniamie hizi tv za digital kwa ss unaweza kutumia bila dishi na ukapata channel zote za free to air
au ndio mpaka tusubiri mwakani?
 
huwezi pata channel zote za free to air bila dish...cha zaid utapata local tv stations unless unatumia cable
 
e.tv imekuwa scrambled channel kwa muda sasa..nimesikia kuna watu wana unlocking keys zake kupitia viaccess1..plz mwenye unlocking keys zake au za channel yoyote atupie hapa!!!
kitaalamu na kuondoka utata ulibidi useme hiyo e.tz unaipata kwenye sattelite gani? angle gani? maana haipatikani kwenye satellite moja. ni station moja lakini inarushwa kwenye satellite tofauti. kama unakusudia ile ya intelsat 7/10 68.5E ile ina encryption ya nagravision 3 na wala sio viaccess1. ambayo crack yake mpaka sasa sijasikia kama tayari. ila kuna satelite ya mp4 ambayo degree zake nimezisahau inapatikana bure bila ya encryption.
weka wazi
 
Sasa umesahau sasa umetusaidia nini??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom