msaada plz

Simu karibia yoyote inayotumia Android OS, Samsung Galaxy S2, Motorola DEFY,HTC Sensation, Moto RAZR XT910, Sony Experia zote, ZTE Blade, Huawei Ideos.. unachoagua kulingana na mfuko wako.

samsung-galaxy-s-ii-real-ofic-1.jpg
 
Sony ericsson xperia mini inaweza ikawa bei gani kwa hapa bongo..
 
Kaka usiangaike na Blackberry ambazo mpaka ununue BIS za 20,000-36,000 ndio upate internet nunua android chagua hapo juu na kuna zaidi ina the best webbrowser zenye html5 na flash support ...na speed za kufa mtu *inategemea na mtandao
 
BIS ni nzuri coz yeye amespecify kwamba yeye ni mtumiaji mzuri sana wa internet so natarajia yeye atakua karibia masaa 18 atakua anatumia net,kwa kikawaida ukiweka 3G na ukawatch youtube video hyo hela yake si mchezo,lkn ukiwa na bis ya buku30 unaweza ukaangalia hata video elfu moja bila tatizo!! Gharama za kutumia net kwenye simu nyingine ni kubwa sana unless uwe unaingia fb na jf tu!
 
kaka usiangaike na blackberry ambazo mpaka ununue bis za 20,000-36,000 ndio upate internet nunua android chagua hapo juu na kuna zaidi ina the best webbrowser zenye html5 na flash support ...na speed za kufa mtu *inategemea na mtandao
asante sana kaka..
 
simu gani nzuri kwa matumizi ya internet?
Mkuu swali lako lipo general sana, inabidi uli kokotoe iliupate ushauri sahihi maana kwa kawaida mara nyingi simu zote za kisasa na za bei mbaya zipo vizuri sana kwenye mambo ya net, usishangae watu wanakutajia masimu ya milioni na ushee wakati bajeti yako ni laki 2,

Taja bajeti yako inachezea wapi kisha wadau watakupa aina nzuri ya simu kulingana na mfuko wako, unless otherwise bei kwako sio tatizo............
 
BIS ni nzuri coz yeye amespecify kwamba yeye ni mtumiaji mzuri sana wa internet so natarajia yeye atakua karibia masaa 18 atakua anatumia net,kwa kikawaida ukiweka 3G na ukawatch youtube video hyo hela yake si mchezo,lkn ukiwa na bis ya buku30 unaweza ukaangalia hata video elfu moja bila tatizo!! Gharama za kutumia net kwenye simu nyingine ni kubwa sana unless uwe unaingia fb na jf tu!

Lakini pia ina restrictions kibao kama ukitaka kutumia kama modern haikubali sasa sio bora apate Android na aweke for example Airtel 400mb atumie akichoka simu Ana washaniwahi hotspot anatumia wireless kwenye computer ikiisha anaeza ongeza maana akuimply lolote kuhusu YouTube streaming
 
Msaada wa bei katika simu hizi
motorola defy
Sony ericsson xperia mini
htc wildfire S..
 
Kwa kipato cha mtanzania, cmu nzuri kwa internet ni nokia 2700c
 
Sikuungi mkono kwakuwa hiyo siyo smart phone halafu ni java based phone na haina 3G ni edge tu huwezi ifanyia mambo mengi. Walau nokia e-series maana ina office, pdf, ina sync na email accounts zako, ina zip, qwerty keyboard na 3G
 
Mkuu swali lako lipo general sana, inabidi uli kokotoe iliupate ushauri sahihi maana kwa kawaida mara nyingi simu zote za kisasa na za bei mbaya zipo vizuri sana kwenye mambo ya net, usishangae watu wanakutajia masimu ya milioni na ushee wakati bajeti yako ni laki 2,

Taja bajeti yako inachezea wapi kisha wadau watakupa aina nzuri ya simu kulingana na mfuko wako, unless otherwise bei kwako sio tatizo............

Okey fine bajeti yangu ni laki tano...
 
Okey fine bajeti yangu ni laki tano...

Kaka kama simu ni kambi, mi nipo kambi ya nokia na smartphone ya nokia ambayo ni bei rahisi na ina specification nzuri ni nokia 701
nokia-701.jpg

1)Camera ni megapixel 8
2)Speed ya processor ni 1 ghz uki update 1.3ghz
3)Ram yake 512
4)Memory ya simu ni 8gb na ina uwezo wa kuchukua memory card ya 32gb

Inatumia symbian belle

Bei yake ni dola 284 nafkiri tuki iconvert kwa tz sh itakuja laki nne na kitu (haitafika laki 5)

Achana na overpriced shit
 
Back
Top Bottom