Msaada plz..

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakubwa,kuna mtu namdai pesa bt cha kushangaza ni kwamba,kila nkimpgia simu,simu yake inaita mara 1 then naambiwa namba inatumika..lakini nikitumia simu nyingne kumpgia inaita vizur tu..sa nauliza huyu jamaa kuna namna ameiset cmu yake kwamba me nkimpgia nisimpate au ni namba yangu ndo ina matatzo?
 
kuna simu kwa mfano some sony erricson cmu ikiita kwako kuna button unaweza click ya BUSY! na wewe sasa uta ambiwa namba iko busy au inatumika! Duuh pole sana inaonekana hana mpango wakukurudishia pesa zako.
 
Hyo mbona ni Old school tricky, namba yako ni miongoni mwa rejected list kwake samsung zote zina hyo feature
 
Hata mimi nina samsung ina feature ya auto reject. Ukipiga inaita na kukata na kuonyesha kuwa namba inatumika.
 
ameka number yako kwenye blacklist,ni kasoftware ka simu kanatumika kwa ajili ya kublock wasumbufu,mojawapo ni hizo zimetajwa hapo juu.
 
Wakubwa,kuna mtu namdai pesa bt cha kushangaza ni kwamba,kila nkimpgia simu,simu yake inaita mara 1 then naambiwa namba inatumika..lakini nikitumia simu nyingne kumpgia inaita vizur tu..sa nauliza huyu jamaa kuna namna ameiset cmu yake kwamba me nkimpgia nisimpate au ni namba yangu ndo ina matatzo?
Mwanaume au mwanamke?
 
Back
Top Bottom