Msaada plz; zuia hii abortion!!

Paddy; inaonekena anakuamini sana kwa jinsi alivyofunguka kwako; kwa kutumia trust hiyo hiyo l am sure. Unaweza msaidia kwani kwa kusoma post zako naona u r also a pro-life believer na pia una busara sana; u don't need us!

So do the needful, mpe council ya kutosha na support if u can! Kuna mtu alishauri umuoe it was a good one if u were not married. Support kubwa ni council yake na mama yake, lkn pia ni kumfanya aweze jitegemea. 22yrs ni mdada mkubwa tu!

Thanks for ur comments. The only problem ni ataishije akiiacha na hana kipato cha kuweza kumhudumia mtoto - maziwa, pampers, etc. Alikiri kuwa kama mwanaume wa kumuoa angekuwepo asingetoa hiyo mimba. As a pro life myself, this is my first challenge ever. Kipato changu kwa sasa bado c kikubwa na nina majukumu pia, bt mi naamini kuwa huwezi kuwasaidia masikini wote watakao kuomba eg omba omba wa barabarani but kinachowezekana ni kusaidia wachache au hata mtu mmoja ambae ataona impact ya msaada wako katika maisha yake. Kifedha, hii challenge haijaja kwangu wakati muafaka, ndo maana naomba ushauri wa wadau wenzangu.

Mwambie azee tu, akimweka hai huyo mtoto mwenyezi mungu atampa tu riziki.....mama yake kama mkali ni mama yake, yeye azae tu huyo mtoto wake sio wa mama yake.

Yeye atakubali mtu atoe roho yake?

Kuna wanawake wengine wajinga sana, yani alipokuwa anafanya sex nje ya ndoa, hukujua kama atapata mimba.

mwambie azae tu coz hata kaa apate amani ya moyo kama atamuua huyo mtoto.jitahidi uweze kuongea na mama yake muone ni jinsi gani mtamsaidia.

kwanza nakupongeza sana kwa moyo wa kumsaidia huyo dada,kwa vile unaonekana kujali maisha yake na mtoto wewe nenda kwenye asasi za kijamii zinazolea watoto yatima ukawaeleze situation yote wanaweza kukubali akae na mimba akizaa mtoto wamchukue wao.

lakini swala la kutoa mimba anaweza poteza maisha japo anasema yuko tayari kufa kama angekuwa yuko tayari kufa asinge kueleza
maana alijua akikueleza utamhurumia na kufanya namna ya kumsaidia.pia baadaye anaweza hitaji mtoto na asimpate,damu ya mtoto itamlilia daima na itakuwa ngumu kwake kuwa na furaha ktk maisha yake yote.

Nashukuru sana kwa huu ushauri. Unaweza ukanitajia vituo vya yatima unavyovifahamu nijaribu kupita weekend hii? Kwa sasa napafahamu tu pale kwa mama mkapa. Kuna unachodhani wanaweza kumkubali kirahisi ikitokea hivyo?

..atoe tu na hapa lengo ni kuokoa maisha yake,kwani anaonekana anaweza jimaliza mwenyewe kabla hata mimba haijafika miezi 9..simlaumu sana ktk hili kwani siye wanaume hatuna shetani wala pepo mkuu ndo mana dhambi zingine tunafanya hata kwenye kitabu cha makosa ya kuzimu hazipo,kama hii kukimbia au kukataa mimba hakika inawachanganya sana mabinti kiasi wengi wanakosa hata hamu ya kuishi,sasa why tuwapoteze akati ukitoa hiyo mimba waweza ishi maisha mazuri tu..gdluck mama na natumai kizazi utakitunza vyema..

Mwambie kutoa hiyo mimba kunaweza kukamuua, na majuto hayatomwacha maisha yake yote, kuzaa hakutompa madhara yoyote zaidi ya changamoto ambazo yeyote akijitahidi anaweza akakabiliana nazo.

Michango miningine mizuri imeshatolewa tayari hivyo ningeshauri umpatie copy ya hii thread ajisomee mwenye, na umkumbushe kwamba majuto ni mjukuu.

Namba ya huyo mwanaume ilikua haipatikani bt kwa sasa inaita hapokei sijui kasharudi kutoka huko nje alikokua! Sisi wanaume kuna mambo mengine tunawasababishia kina mama ambayo hawakustahili na tunawatelekeza. Wapo ambao wanaona hii ni sawa na hakuna tatizo mwanamke atajua mwenywe atakavyofanya. Juzi juzi tu tumemzika jirani aliekufa kwa kufanya abortion, sababu kubwa pia si ni sisi wanaume?

Mwambie kutoa hiyo mimba kunaweza kukamuua, na majuto hayatomwacha maisha yake yote, kuzaa hakutompa madhara yoyote zaidi ya changamoto ambazo yeyote akijitahidi anaweza akakabiliana nazo.

Michango miningine mizuri imeshatolewa tayari hivyo ningeshauri umpatie copy ya hii thread ajisomee mwenye, na umkumbushe kwamba majuto ni mjukuu.

Nitamwonyesha hii michango yenu lakini itakua baada ya kufanikiwa kupata namba ya mama yake kwanza. Thanks!!

Hata kama akifanikiwa kuitoa salama akumbuke ya kuwa maisha yake yote she'll never have a firstborn!

Hata kama akifanikiwa kuitoa salama akumbuke ya kuwa maisha yake yote she'll never have a firstborn!

Hiyo ni kweli kabisa, mbaya zaidi atamfanya mtoto wake wa pili aamini kuwa yeye ni first born!

mshauri asimtoe kile kiumbe hakina makosa , na hakina hatia yeyote, ajifungue ampeleke mtoto kwenye vituo na akae akielewa Mtoto akishazaliwa ni wa jamii au wa wote hivyo asiogope kumzaa anaweza kuja kuwa mtu muhimu sana katika maisha yake ,na kama yeye angetolewa leo hii angekua wapi? na msomehe mistari ya bibilia kam ni mkristo na kama ni mwislam quran ili awe na hofu ya Mungu!

mmh, vidume in action once again...! on a serious note, it looks like a case of history repeating itself all over again, with the whole damn incident revolving around the vicious circle of poverty

Back
Top Bottom