Msaada plz wa setting kwenye nokia 6230.

JO MAIKO

Member
Sep 4, 2011
22
1
Naomba kutanguliza kwen shukran zang wakuu kwa kuendelea ku2saidia na ku2elimisha.

Nina nokia 6230 ambayo ukiplay video kweny net au ukidownload na kuiplay inagoma na kuandika FILE FORMAT NOT SUPPORT.
Au ukifungua video kwenye u tube inagoma nakuandika msg hiyo.Au huleta msg ihusuyo mambo ya java scrip nilikuo naomba kuuliza ni setting gan na nisehem gan ni check ili iweze kukubali.
Nawasilisha kwenu wataalam
 
Tatizo nokia 6230/6230i phone memory yake ni ndogo. Hata kufungua jf tu kwa baadhi ya post zenye ujazo huwa inagoma.jaribu kutafuta kwa bolt internet browser kidoogo huwa ina recover baadhi ya matatizo madogo madogo.nenda google utafute site inaitwa getjar humo utai sachi bolt browser.
 
Naomba kutanguliza kwen shukran zang wakuu kwa kuendelea ku2saidia na ku2elimisha.

Nina nokia 6230 ambayo ukiplay video kweny net au ukidownload na kuiplay inagoma na kuandika FILE FORMAT NOT SUPPORT.
Au ukifungua video kwenye u tube inagoma nakuandika msg hiyo.Au huleta msg ihusuyo mambo ya java scrip nilikuo naomba kuuliza ni setting gan na nisehem gan ni check ili iweze kukubali.
Nawasilisha kwenu wataalam

sim zingine zinauwezo fulani tu.sio kila video itakuambia hivo bali video za hd za mp4 ndio utapata huo ujumbe.na youtube sio kila video ipo kwenye mobile format zingine hazipo ndio maana zinagoma.

mimi nakushauri download opera mini

ingia website m.opera.com na download
 
dah sasa akidownload opera au bolt ndo simu itaongeza format za video? Kaka 6230 ni old model nakushauri instead ya kutumia youtube tumia Vuclip web video search utapata video zilizo kwenye format ya simu yako. Flash simu yako haina ila javascript inayo kui enable click web then setting utaikuta huko
 
Nakubaliana na wewe si kila simu inauwezo wa kuplay streaming video kulinganna na format.
Lakini Bolt browser yenyewe inayo player yake inayoweza kustream video online
I stand to be corrected
 
upo sahihi.
 
dah sasa akidownload opera au bolt ndo simu itaongeza format za video? Kaka 6230 ni old model nakushauri instead ya kutumia youtube tumia Vuclip web video search utapata video zilizo kwenye format ya simu yako. Flash simu yako haina ila javascript inayo kui enable click web then setting utaikuta huko

maneno yako poa,lkn akiwa na hizo browser angalau ataifaidi zaidi sim.lkn haiongoze format au nini
 
sasa 6230 haina 3g ipo slow kweli hata akitumia bolt kustream ni bure manake video ya dk 3 ataload nusu saa bora kudownload kwa vuclip.
 
kijana fungu media player yako. Yaani tafuta video yeyote iliyomo kwdnye cm yako au music track then upande wa kushoto wa sm yako kumeandikwa option bonyeza mpaka kwenye download select th streaming then uselect confguration iliyomo kama ni tigo wap ama voda wap hapo u have done
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom