Msaada plz nahitaji kucheka

weka simu vibration then weka kwapani kisha nitakupigia..

teh!teh!jamani basi nimetoshaaaa.!!! Mmenitibu nimepo mkizidisha tiba mjue mnaenda kunivunja vunja kinanda changu(mbavu)
 
usinune bwana, utazeeka kabla ya umri.

nitazeeka upesi! Husninyo acha kunitisha.maana nimesikia wachina hiyo dawa ya kujivua gamba baada ya kuanza kuzeeka bado hawajaipata.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom