Msaada plz..Moderm imegoma kufanya kazi after trying to unlock it n failed.

Mtembea_peku

Senior Member
Dec 15, 2010
135
1
nimekuwa natumia moderm ya voda vodafone k 3570 z na zantel baada ya kuona gharama ni kubwa na huawei za zantel hazichakachuliki coz hazina Imei nikaamua ni unlock moderm ya voda kwa kutumia dc unlocker V 540 bt zoezi lilifair coz siku sikupata majibu ya kuridhisha so nikaamua nirudi kuendelea kutumia kama kawaida bt after inserting the moderm ile software ya voda ikawa hairespond so nika uninstall ile prog..bt nilipoweka tena moderm computer inadetect moderm bt hai install dat software kama ilivyo ada..nimeshindwa kujua tatizo ni nini au ndio nimeua moderm..je nikiiflash inaweza fanya kazi !
 
mkuu mtembea peku tambua hiyo modem utakuwa umejaribu kui unlock zaidi ya mala kumi.so haitakubari tena mpaka upakue join air.pia nakushauri utafute topic zipo zinaelekeza vizuri namna ya ku sorve matatizo ya modem.:playball:
 
thanx jf nimesoma thread kibao n nimelearn alot nimeiflash n install join air now inapiga mzigo kama aina akili nzuri ..line zote twende kazi..
 
mkuu hayo matatizo yameshajadiliwa sana hapa, na ukweli ufumbuzi wake umepatikana, unachotakiwa ni kutafuta hizo post, jaribu ku-search tumia keyward "k3565" au "ztemodem"
 
thanx jf nimesoma thread kibao n nimelearn alot nimeiflash n install join air now inapiga mzigo kama aina akili nzuri ..line zote twende kazi..
Naomba unipatie link ya thread inayoonesha namna ya kuiflash na ku-install join air
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom