kholo
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 413
- 75
habari za majukumu wanajamvi, hard disk yangu nikiikonect kwenye pc inasoma ila haifunguki na inaleta ujumbe wa kuformat mara kwa mara, ukitizama property zake zinaonesha free space=0 bit na used space pia ni 0 bit. Naombeni msaada wakuu nifanyeje? shukran